Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kujumlisha vyama vya Upinzani ama?Vipi kama iyo ni alama ya kujumlisha na sio msalaba!!!...Akili zingine minyoo kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu tena? Wewe huna hivyo vitu ututumie japo tuhakiki?Nakaa kwako mimi au Najua vitu unavyotumia?? hata kama sikai ila nina uhakika 99% hapakosi msalaba
Basi akavae yeye na mkeweHii si kweli ipo tangia zamani.. ni mtu kaamua kuweka aina hiyo.. TUSISAMBAZE CHUKI ZA KIDINI KIZEMBE KIASI HIKI VIJANA WA TAIFA LA KESHO..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Waislam wa Uswahilini mkuu, ndio Waislam walivyo, wale wanaoshika Dini na kuswali swala tano, tena mbona hapa Bongo Waislam ni wastaarabu sana.Ndo tabia zao ku raise hoja za kipumbavu, nakumbuka nikiwa kidato cha nne kuna dogo alikojolea msaafu maeneno ya mbagala jamaa walihamaki wakaenda polisi wakiomba wapewe uyo dogo wamshughulikie, imagine ! Watu wazima kabisa ! Wakat yule dogo hajui hili wala lile, mkuu they are foolish!
Mkuu labda tusubiri tamko la msomali.Hivi hiyo ni jezi official ya stars au ni zile tu za kufyatua??
Achana na mama yangu zungumzia mimi hapa...Wewe mama yako ana elimu gani
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Mmh! [emoji50]Sio Waislam wa Uswahilini mkuu, ndio Waislam walivyo, wake wanaoshika Duni na kuswali swala tano, tena mbona hapa Bongo Waislam ni wastaarabu sana.
.Huko Uarabuni Mwislam akianzisha mjadala wa Dini na wewe kisha ukabishana nae unapewa kesi ya kukumkufuru mtume na adhabu yake ni kifo
We fala kweli hujui kwa kauli yako umetaja mamilioni ya watu hapoAchana na mama yangu zungumzia mimi hapa...
Sipendi kila kitu
Naona unaendeleza yale yale ya waislamu kutokua na elimu..nimekwambia zungumza kuhusu mimi achana na hao mamilioni...au hauna shule umesoma madrasa tu wewe enh?We fala kweli hujui kwa kauli yako umetaja mamilioni ya watu hapo
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kama hajui hili wala lile hata angefanya hivyo ingekuwa sawa tuHahaha! Mkuu amkojolee mama ake
Tofautisha kati ya kutenzwa nguvu na kuhiyari. Mwenye akiri huiona fitina wakati wa kuingia isipokua mjinga huiona wakati wa kuondoka kwake. Hivyi wewe subiri kwanza madhara yatokee ndipo uaminiMbona ambulance zina msalaba na bado mnazitumia nyie wafuasi wa mudy
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwanzo nilitaka kufanya Sala kwa Imani yangu tushinde Ila nilivyoona watu ambao wana haribu maadili ya watoto wetu ndio wa hamasishaji ata tukifungwa sita sikitika!Jezi imepambwa utadhani nyumba ya muhindi sivai mimi
Mbona ambulance zina msalaba na bado mnazitumia nyie wafuasi wa mudy
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mkijaa kichapo chenu kiko pale paleSuala LA msingi nikuhamasisha watu wajaze uwanja,haya mengine hayana tija ktk nchi ambayo haina dini
Halafu manajiita wasomi. Wakati mnashindwa kutofautisha msalaba na alana ya jumlisha!!!Huu uzi ngoja niuunganishe na ile thread yangu ya utumwa katika picha, maana tumetekwa akili kiasi hata alama ya kujumlisha mnaanza kuita msalaba