Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Ndo tabia zao ku raise hoja za kipumbavu, nakumbuka nikiwa kidato cha nne kuna dogo alikojolea msaafu maeneno ya mbagala jamaa walihamaki wakaenda polisi wakiomba wapewe uyo dogo wamshughulikie, imagine ! Watu wazima kabisa ! Wakat yule dogo hajui hili wala lile, mkuu they are foolish!
Sio Waislam wa Uswahilini mkuu, ndio Waislam walivyo, wale wanaoshika Dini na kuswali swala tano, tena mbona hapa Bongo Waislam ni wastaarabu sana.

.Huko Uarabuni Mwislam akianzisha mjadala wa Dini na wewe kisha ukabishana nae unapewa kesi ya kukumkufuru mtume na adhabu yake ni kifo
 
Sio Waislam wa Uswahilini mkuu, ndio Waislam walivyo, wake wanaoshika Duni na kuswali swala tano, tena mbona hapa Bongo Waislam ni wastaarabu sana.

.Huko Uarabuni Mwislam akianzisha mjadala wa Dini na wewe kisha ukabishana nae unapewa kesi ya kukumkufuru mtume na adhabu yake ni kifo
Mmh! [emoji50]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We fala kweli hujui kwa kauli yako umetaja mamilioni ya watu hapo


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Naona unaendeleza yale yale ya waislamu kutokua na elimu..nimekwambia zungumza kuhusu mimi achana na hao mamilioni...au hauna shule umesoma madrasa tu wewe enh?
 
Jezi imepambwa utadhani nyumba ya muhindi sivai mimi
Mimi mwanzo nilitaka kufanya Sala kwa Imani yangu tushinde Ila nilivyoona watu ambao wana haribu maadili ya watoto wetu ndio wa hamasishaji ata tukifungwa sita sikitika!
 
Huu uzi ngoja niuunganishe na ile thread yangu ya utumwa katika picha, maana tumetekwa akili kiasi hata alama ya kujumlisha mnaanza kuita msalaba
Halafu manajiita wasomi. Wakati mnashindwa kutofautisha msalaba na alana ya jumlisha!!!
Alama ya jumlisha huwa inagawanywa katikati,wakati msalaba sehemu ya chini huwa ndefu. Angalia hiyo jezi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom