SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Mno.Mi sijafikilia kama huo ni msalaba ndo wewe mtoa mada umeniingizia swala geni kichwani mwangu.
WAISLAM WASIOSOMA WANATESEKA SANA NA UGONJWA WA INFERIORITY COMPLEX
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wachezaji wa kiisilamu wasicheze kesho na wasivae.jezi hiyo kama watacheza. Lakini ina maana mashabiki waislamu wadiende kesho uwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani SportPesa ni Dini kama ilivyo Ukristo?Write your reply...
waislamu uchwara
lakini jezi zilizoandikwa "sportpesa" mnavaa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama nchi ipo salama mbona mmeweka msalaba peke yake mngeongeza na alama ya tasbih kwenye jezi.
Bila ya kesho tunapigwa Hamsa
Kanisa 0 - 5 Uganda
Upuuzi zaidi in kuona imani yako ni bora kuliko wengine. Na hii ndio ikapelekea kubuni jezi hizo ili kuwavutia watu wa imani moja na kuwatenga wengineTuache utoto, sawa hii INA msalaba usinunue wala kuivaa, vaa ile ya zamani isiyo na msalaba. Serikali na TFF hawajalazimisha mashabiki kuvaa na hiyo jezi, Unaweza usivae jezi yoyote na ukashangilia, unaweza vaa kanzu, jezi ya club yako au Jezi za Taifa stars zisizo na msalaba. Nadhani baada ya hamasa ya kujaza uwanja, Waganda na mabeberu wengine wametengeneza hii propaganda, TFF na Wizara, Zalisheni au Muagize jezi mbadala usiku wa Leo ili kuepuka propaganda hii ya Kipuuzi. Naamini Luna wasambazaji wenye jezi za zamani Stoo
We shoga? Mbona umekazana nikuzungumzie wewe wakati mada sio yakoNaona unaendeleza yale yale ya waislamu kutokua na elimu..nimekwambia zungumza kuhusu mimi achana na hao mamilioni...au hauna shule umesoma madrasa tu wewe enh?
Wacha wapigwe tu hizo 5G pumbavu zao hatushabikii kanisa sisiKanisa 0 - 5 Uganda.
Mi muislam utaniwekeaje msalaba kwenye jezi.
Timu nayo inawachezaji wakristo.Ni haramu kwa kuwa zina alama ya ukristo ndugu
Hata mie nilikuwa najiuliza hao waliotengeneza hiyo jezi jengo lao lilikuwa kuweka kweli msalaba au sisi ndio tumekuza hivyoVipi kama iyo ni alama ya kujumlisha na sio msalaba!!!...Akili zingine minyoo kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho ustadhi Samatta atavaaMsalaba huo waislam hawavai ninavowajua waislam hawana dogo
TFF maana yake Tanzania football fitna na haya yote kayataka makonda specialist of failure akiongoza jambo lazima afeli hapa inadhihirisha kweli alipata ziro
Mkuu hilo sasa ni tatizo [emoji5]Sisi hata kwenye njia mpishano zinazo onekana hivi[emoji809] hatupitagi kamwe.
Bora wangeweka alama hii[emoji287], tusinge laumu kabisa.
Kuanzia leo ktk somo lolote la hisabati alama ya kujumlisha + tutaigomea nayo. Ni alama ya Wakiristu pia.
Sent using Jamii Forums mobile app