Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Sisi hata kwenye njia mpishano zinazo onekana hivi[emoji809] hatupitagi kamwe.
Bora wangeweka alama hii[emoji287], tusinge laumu kabisa.
Kuanzia leo ktk somo lolote la hisabati alama ya kujumlisha + tutaigomea nayo. Ni alama ya Wakiristu pia.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuache utoto, sawa hii INA msalaba usinunue wala kuivaa, vaa ile ya zamani isiyo na msalaba. Serikali na TFF hawajalazimisha mashabiki kuvaa na hiyo jezi, Unaweza usivae jezi yoyote na ukashangilia, unaweza vaa kanzu, jezi ya club yako au Jezi za Taifa stars zisizo na msalaba. Nadhani baada ya hamasa ya kujaza uwanja, Waganda na mabeberu wengine wametengeneza hii propaganda, TFF na Wizara, Zalisheni au Muagize jezi mbadala usiku wa Leo ili kuepuka propaganda hii ya Kipuuzi. Naamini Luna wasambazaji wenye jezi za zamani Stoo
Upuuzi zaidi in kuona imani yako ni bora kuliko wengine. Na hii ndio ikapelekea kubuni jezi hizo ili kuwavutia watu wa imani moja na kuwatenga wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unaendeleza yale yale ya waislamu kutokua na elimu..nimekwambia zungumza kuhusu mimi achana na hao mamilioni...au hauna shule umesoma madrasa tu wewe enh?
We shoga? Mbona umekazana nikuzungumzie wewe wakati mada sio yako
Humu hata wewe una elimu ya juu ila nataka kujua ya mama yako

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Designer ni nani, ni Sheria ngowi?

Happiness is a lifestyle
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom