AiseeeWacha wapigwe tu hizo 5G pumbavu zao hatushabikii kanisa sisj
Wakuu habari inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii ni uzembe wa TFF kuja na aina ya jezi ambayo ina msalaba ndani yake.
Suala hili si la kufanyia mzaha na linaweza kuligawa taifa pamoja na kurejesha nyuma morali na hamasa ya kuishangilia Taifa Stars.
Tanzania haina dini hivyo kuingiza alama ya dini fulani katika Taasisi ya kitaifa sio tu ni kitendo cha kizembe bali ni hatari kwa mustakbali mzima wa amani ya nchi yetu.
View attachment 1052174
Inawezekana we ni kijana wa padri fulani.Ila amber ruty na mumewe ni waislamu ujue na mambo yao mumeyaruhusu
KWANI SIMBA NDO HUVAA ALAMA HIYO?Simba fans are troublesome!
No red colour seen thus why
Chini ya namba ya mchezaji wakazie na kauli mbiu ya 'hapa kazi tu'
Sent using Jamii Forums mobile app
Tiketi na njia nyeupeee kuidhangilia THE CRANE'SThe Cranes piga wavaa misalaba hao!
Alama ya laana
Mbona ambulance zina msalaba na bado mnazitumia nyie wafuasi wa mudy
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdhenzi anae zuia tusipate taarifaUshenzi wako ni kusambaza ujumbe wa kishenzi na kipumbavu ili washenzi wenzio waendeleee kufahamu zaid
Sinta ishangilia!
Upuuzi zaidi in kuona imani yako ni bora kuliko wengine. Na hii ndio ikapelekea kubuni jezi hizo ili kuwavutia watu wa imani moja na kuwatenga wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
"Kengeza kuitwa chongo"Hakuna msalaba wa namna hiyo, hiyo Ni alama ya kujumlisha, Narudia Tena Hakuna msalaba wa hivyooo
Kumbuka hao hao Waislamu wa uswahilini, wasio na elimu, wenye majungu ndio wapenzi wakubwa wa soka. Hawa ndio muda mrefu wanaotumia kwenye kujibizana kwenye vijiwe vya kahawa kuhusu soka la Tanzania. Mkiwaingizia vitu kama hivi mtaona matokeo yake ingawa sio leoWapumbavu tu ndio wana muda wa ku debate kuhusiana na hii jezi, hata muislamu mwenye akili zake timamu anayeijua vyema dini yake hawezi kupoteza muda kuhoji stupid stuff kama hizi, ni wale waislam wa uswahilini wenye majungu majungu ndio wanaoibua hoja za kijinga namna hii! Nonsense!
Stars hawavai hizo jezi. Wanavaa za blue. Hizo kuna uwezekano wafanyabiashara wamejonheza ila wamebugi.Kwa nyongeza Waislam na Wasabato hampaswi kufumbia macho suala hili!
Acha upotoshaji, hizo jezi hazijatengenezwa kwa mlengo wowote wa kiimani wala kidini, ni kosa lisilokusudiwa katika design ambapo kwa watu waelewa, sio tatizo. Lililo mbele yetu ni kuisaidia timu yetu ishinde alaf jezi zitarekebishwa kabla ya safari ya Afcon. Kutangaza kususia timu na jezi ni usaliti kwa taifa
Mkuu ukiwa verified member act accordingly. You look like a decent and smart guy.Tiefuefu ndo inacho jivunia hicho kubadilisha badilisha jezi kila siku[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app