Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Wakuu habari inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii ni uzembe wa TFF kuja na aina ya jezi ambayo ina msalaba ndani yake.

Suala hili si la kufanyia mzaha na linaweza kuligawa taifa pamoja na kurejesha nyuma morali na hamasa ya kuishangilia Taifa Stars.

Tanzania haina dini hivyo kuingiza alama ya dini fulani katika Taasisi ya kitaifa sio tu ni kitendo cha kizembe bali ni hatari kwa mustakbali mzima wa amani ya nchi yetu.

View attachment 1052174


"HILO NI KOSA KUBWA LINALOWEZA KULIGHARIMU TAIFA"

HATUA ZA HARAKA NA BUSARA ZICHUKULIWE NA WAHUSIKA.

NCHI YETU HAINA DINI NA WATANZANIA HAWANA DINI MOJA.
 
Mbona ambulance zina msalaba na bado mnazitumia nyie wafuasi wa mudy

Sent using Jamii Forums mobile app



Wewe mpuuzi, kuna Red cross na Red crescent, yaani msalaba mwekundu na Nyota nyekundu na zote hizo ni alama maalumu za kidunia.

Sasa niambie huo msalaba katika hiyo jezi maana yake nini??

Ilivyokuwa hapo maana yake Tanzania ni nchi ya Kikristo.
 
Acha upotoshaji, hizo jezi hazijatengenezwa kwa mlengo wowote wa kiimani wala kidini, ni kosa lisilokusudiwa katika design ambapo kwa watu waelewa, sio tatizo. Lililo mbele yetu ni kuisaidia timu yetu ishinde alaf jezi zitarekebishwa kabla ya safari ya Afcon. Kutangaza kususia timu na jezi ni usaliti kwa taifa
Upuuzi zaidi in kuona imani yako ni bora kuliko wengine. Na hii ndio ikapelekea kubuni jezi hizo ili kuwavutia watu wa imani moja na kuwatenga wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapumbavu tu ndio wana muda wa ku debate kuhusiana na hii jezi, hata muislamu mwenye akili zake timamu anayeijua vyema dini yake hawezi kupoteza muda kuhoji stupid stuff kama hizi, ni wale waislam wa uswahilini wenye majungu majungu ndio wanaoibua hoja za kijinga namna hii! Nonsense!
Kumbuka hao hao Waislamu wa uswahilini, wasio na elimu, wenye majungu ndio wapenzi wakubwa wa soka. Hawa ndio muda mrefu wanaotumia kwenye kujibizana kwenye vijiwe vya kahawa kuhusu soka la Tanzania. Mkiwaingizia vitu kama hivi mtaona matokeo yake ingawa sio leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv kwani msalaba una tatizo gani hapo?
Na nani aliesema km ni msalaba, je km mi kujumlisha?
Kwhy unataka kusema watu wote wanaolalamika hawajawahi kbs kuvaa nguo yenye alama za namna hiyo au maandishi ya kiislam?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upotoshaji, hizo jezi hazijatengenezwa kwa mlengo wowote wa kiimani wala kidini, ni kosa lisilokusudiwa katika design ambapo kwa watu waelewa, sio tatizo. Lililo mbele yetu ni kuisaidia timu yetu ishinde alaf jezi zitarekebishwa kabla ya safari ya Afcon. Kutangaza kususia timu na jezi ni usaliti kwa taifa


Kosa ni huo msalaba wakivaa hizo jezi kesho hamtaamini kitachotokea
Hamuwezi kuifanya Tanzania alama yake iwe misalaba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom