Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Umejitahidi kuandika japo ni pumber

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NNA UHAKIKA ASILIMIA 99.999999
Aliye amuru hiyo jezi iwekwe hivo ni BASHITE
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Narrow minded ndio watapuuza debating provocation kama hizo kwa kuwa ni mbububu wakuelewa what next, usifikiri alie weka hiyo alama ni mjinga kama wewe, anazifahamu fika alama zinazo wakilisha taifa,
Kwa kukuelimisha tambua yapo mawasiliano au utambulisho wa maandishi, michoro na alama, great thinker wanaelewa mapema, kwa mbumbubu ni usiku wa giza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Quoi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
me mwenyewe nimezipenda hzo za msalaba... wanaopinga msalaba wapinge na huduma za msalaba mwekundu, kisanduku cha huduma ya kwanza, wasishabikie barcelona, madrid , england, sweden, etc.
 
Waliokuja na hii maada wapuuzi tu waambie
 
Itakuwa vema mno wachezaji wote wa timu ya Taifa wazigomee kuvaa hizo jezi kwani vinginevyo zitawaletea mgawanyiko mkubwa na watashindwa kuconcentrate na game na hatimaye kufungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna msalaba wa namna hiyo, hiyo Ni alama ya kujumlisha, Narudia Tena Hakuna msalaba wa hivyooo
Kawaida ya (alama ya) msalaba, mstari/mkia wa chini huwa mrefu. Alama ya kujumlisha mistari yake yote iko sawia (+).
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…