Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Hivi wewe unafikiri alie weka huo msalaba hapo ni juha anajua anachofanya hiyo ni jezi ya taifa alama zinanazotakiwa hapo nizile alama zinazowakilisha taifa hilo liko wazi, hayatufate afya mbaya ya akili tukatae sio msalaba ni alama tu
Sasa niambie alama hiyo inawakilisha nini ktk taifa letou?
Halafu unajitia ujuha kuuliza tanzania inaelekea wapi
Huoni inaelekea ktk MSALABA

Sent using Jamii Forums mobile app
Umejitahidi kuandika japo ni pumber

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NNA UHAKIKA ASILIMIA 99.999999
Aliye amuru hiyo jezi iwekwe hivo ni BASHITE
Kiukweli naona nchi yetu imeanza kuwa tofauti na jinsi ilivyokua miaka ya nyuma, yani inafika muda watu wanatafuta pointi ndogo/kubwa kuanzisha taharuki katika jamii.

Nimepita katika mitandao ya kijamii watu wamekasirika na kutuhumu kuwa taifa linagawanywa kidini kwa sababu ya alama ya msalaba iliyo katika jezi ya timu ya taifa.

Kama nchi tumefikia hatua ya kuanza kugawana namna hii? Hii chuki imeanzia wapi maana inafikia watu wanatoa maoni kuwa kesho ni Msalaba 0- Uganda 4

Tanzania inaelekea wapi aisee?
View attachment 1052312

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapumbavu tu ndio wana muda wa ku debate kuhusiana na hii jezi, hata muislamu mwenye akili zake timamu anayeijua vyema dini yake hawezi kupoteza muda kuhoji stupid stuff kama hizi, ni wale muslims wa uswahilini wenye majungu majungu ndio wanaoibua hoja za kijinga namna hii! Nonsense!

Narrow minded ndio watapuuza debating provocation kama hizo kwa kuwa ni mbububu wakuelewa what next, usifikiri alie weka hiyo alama ni mjinga kama wewe, anazifahamu fika alama zinazo wakilisha taifa,
Kwa kukuelimisha tambua yapo mawasiliano au utambulisho wa maandishi, michoro na alama, great thinker wanaelewa mapema, kwa mbumbubu ni usiku wa giza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapumbavu tu ndio wana muda wa ku debate kuhusiana na hii jezi, hata muislamu mwenye akili zake timamu anayeijua vyema dini yake hawezi kupoteza muda kuhoji stupid stuff kama hizi, ni wale muslims wa uswahilini wenye majungu majungu ndio wanaoibua hoja za kijinga namna hii! Nonsense!
Quoi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
me mwenyewe nimezipenda hzo za msalaba... wanaopinga msalaba wapinge na huduma za msalaba mwekundu, kisanduku cha huduma ya kwanza, wasishabikie barcelona, madrid , england, sweden, etc.
 
Kiukweli naona nchi yetu imeanza kuwa tofauti na jinsi ilivyokua miaka ya nyuma, yani inafika muda watu wanatafuta pointi ndogo/kubwa kuanzisha taharuki katika jamii.

Nimepita katika mitandao ya kijamii watu wamekasirika na kutuhumu kuwa taifa linagawanywa kidini kwa sababu ya alama ya msalaba iliyo katika jezi ya timu ya taifa.

Kama nchi tumefikia hatua ya kuanza kugawana namna hii? Hii chuki imeanzia wapi maana inafikia watu wanatoa maoni kuwa kesho ni Msalaba 0- Uganda 4

Tanzania inaelekea wapi aisee?
View attachment 1052312

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliokuja na hii maada wapuuzi tu waambie
 
Itakuwa vema mno wachezaji wote wa timu ya Taifa wazigomee kuvaa hizo jezi kwani vinginevyo zitawaletea mgawanyiko mkubwa na watashindwa kuconcentrate na game na hatimaye kufungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom