Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
TFF wana motive gani? Au wanataka ku achieve nini ktk hili?
Huyu Karia si mtu mzuri kwa ustawi wa jamii ya Tz. Nashauri aanze kufatiliwa.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Kawaida ya (alama ya) msalaba, mstari/mkia wa chini huwa mrefu. Alama ya kujumlisha mistari yake yote iko sawia (+).
 
Hakuna msalaba wa namna hiyo, hiyo Ni alama ya kujumlisha, Narudia Tena Hakuna msalaba wa hivyooo
Pole sana,kama umeshindwa kutofautisha kati ya msalaba na alama ya kujumlisha basi ni msiba mwingine

jof3 wa michano
 
Mi naona hapo mbele kwenye hiyo jezi wangemweka Twiga tu kama kwenye Bombadier [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huo msalaba mlitaka mtuoneshe nini hasa na huo ukafiri wenu

jof3 wa michano
 
Kwahyo mnataka kujumlisha uwanjani sio na hiyo midude yenu ya kanisa
jof3 wa michano
 
we ni muislamu?

kampuni la kamari,au kamari inaruhusiwa kwenye uislam?
Sitetei kamari kuwa ni halali, laa! lakini iko hivi, kuvaa msalaba kwa makusudi ni kujinasibisha na imani ya huo msalaba, yaani ni kama anacheza pemben mwa shimo la kukufuru lakini kamari ni dhambi tu imani inabaki ya mcheza
 
Hv kwani msalaba una tatizo gani hapo?
Na nani aliesema km ni msalaba, je km mi kujumlisha?
Kwhy unataka kusema watu wote wanaolalamika hawajawahi kbs kuvaa nguo yenye alama za namna hiyo au maandishi ya kiislam?

Sent using Jamii Forums mobile app

Msalaba ni nembo rasmi ya kanisa na wakristo hakuna kanisa lolote lisilo na msalaba.
Hakuna alama ya kujumlisha cross yake iko juu, bali cross ya alama ya kujumlisha ipo kati, na uwelewe kuwa alama huwakilisha utambulisho au maandishi kwa hiyo ktk mawasiliano ya alama huwezi kukurupa msalaba ukasema ni jumlisha utafeli,
Haja katazwa mkristo kuvaa alama za kikristo na muislam kuvaa alama za kiislam, ila tunapofika masula ya taifa, tunacha alama zetu na kuvaa alama ya taifa,
Swali hiyo alama inawakilisha kipi ktk taifa mpaka iwekwe ktk jezi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…