BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Tukiachana na msalaba binafsi hiyo jezi haivutii, ubunifu ZIRO
Niache kuvaa jezi ya King Messi nivae ya taifa stars!! Labda niwe nimekosa nguo za kuvaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukiachana na msalaba binafsi hiyo jezi haivutii, ubunifu ZIRO
Boya tu weweSisi hata kwenye njia mpishano zinazo onekana hivi[emoji809] hatupitagi kamwe.
Bora wangeweka alama hii[emoji287], tusinge laumu kabisa.
Kuanzia leo ktk somo lolote la hisabati alama ya kujumlisha + tutaigomea nayo. Ni alama ya Wakiristu pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee mkuu vibaya kwa kweli, kuwa MzalendoNiache kuvaa jezi ya King Messi nivae ya taifa stars!! Labda niwe nimekosa nguo za kuvaa
Na kwa nini asimkojolee mama yake?
Sent from my SM-G570F using Tapatalk[/QUOTE
Kawaida ya (alama ya) msalaba, mstari/mkia wa chini huwa mrefu. Alama ya kujumlisha mistari yake yote iko sawia (+).Huo ni msalaba au ni alama ya jumlisha kuhalalisha baadhi ya mambo bila kujua athali si vizuri. Mbona Mbona hapo sioni msalaba ninacho ona ni alama ya.jumlisha.msalama una alama ya Yesu.leteni jezi tuvae na Tifa stars oyeeeeee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo majinga yanajifanya hayajui tofauti ya hivyo vitu viwiliAlama ya kujumlisha pembe zote
sawa. Tukubali jersey imekosewa siyo sawa kumvesha muislamu msalaba/alama ya msalaba kifuani.
Umeshasema KAMA kwahyo sio kweliVipi kama iyo ni alama ya kujumlisha na sio msalaba!!!...Akili zingine minyoo kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hiyo sehemu chafu ni mama yake angekojolea tuUmewahi muona mtu ana akili timamu anatoa mashine anakojoa sehemu safi? Mtu anakojoa sehemu chafu
Pole sana,kama umeshindwa kutofautisha kati ya msalaba na alama ya kujumlisha basi ni msiba mwingineHakuna msalaba wa namna hiyo, hiyo Ni alama ya kujumlisha, Narudia Tena Hakuna msalaba wa hivyooo
Nafikiri ni vizuri wakaachana nazo tuendelee na jezi za awaliSi lazima Mkuu ila tutaona hiyo kesho na kama baadhi ya wacheza wakigoma kuzivaa basi ni hasara kubwa kwa TFF.
Kwani huo msalaba mlitaka mtuoneshe nini hasa na huo ukafiri wenuBasi me naona kama ni hivyo ifanyike pasu pasu,mechi iahirishwe jezi zirudi zilikotoka nyuma ziwekwe mwezi na nyota bila kusahau kengele kwenye mikono ziwekwe tunguli na hirizi kwa wale wa asili kwengine itafutwe nembo ya wapagani ili tuende sawa.
Sometimes ku-deal na hawa vichwa vibovu inataka timing tu wala siyo nguvu,leo nembo ya msalaba tu imekuwa mtihani hivi kweli hakuna ya msingi ya kulalamikia zaidi ya hili?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Mnajumlisha nini uwanjani na mnajua kabisa watanzania hawapendi mahesabu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni msalaba au ni alama ya jumlisha kuhalalisha baadhi ya mambo bila kujua athali si vizuri. Mbona Mbona hapo sioni msalaba ninacho ona ni alama ya.jumlisha.msalama una alama ya Yesu.leteni jezi tuvae na Tifa stars oyeeeeee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Write your reply...
waislamu uchwara
lakini jezi zilizoandikwa "sportpesa" mnavaa?
Sitetei kamari kuwa ni halali, laa! lakini iko hivi, kuvaa msalaba kwa makusudi ni kujinasibisha na imani ya huo msalaba, yaani ni kama anacheza pemben mwa shimo la kukufuru lakini kamari ni dhambi tu imani inabaki ya mchezawe ni muislamu?
kampuni la kamari,au kamari inaruhusiwa kwenye uislam?
Hv kwani msalaba una tatizo gani hapo?
Na nani aliesema km ni msalaba, je km mi kujumlisha?
Kwhy unataka kusema watu wote wanaolalamika hawajawahi kbs kuvaa nguo yenye alama za namna hiyo au maandishi ya kiislam?
Sent using Jamii Forums mobile app