Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Hiyo jezi ina utata ni bora isivaliwe itapunguza hamasa kwa timu kutoka kwa mashabiki...
 
Nilichogundua ni kuwa viongozi wakiwa na hekima wana uwezo mkubwa wa kujenga uzalendo.
Najaribu kulitazama pambano la Simba vs AS Vita; wana simba walikuwa na mshikamano sana.
Ule ni mfano wa uzalendo.

Lakini hii ya taifa stars....daaaah mambo kibao yameibuka kwakuwa tu ni ya taifa, inaonekana kuna watu wako tayari kabisa kubomoa taifa lao ni nafasi tu hawana!
Haiwezekani design ya kawaida ibebeshwe jina la msalaba 'udini' for whose interest....
Nadhani kuna jambo kubwa sana limewagawa wananchi. Viongozi wajitathmini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni nani amekwambia hizo ni jezi maalumu kwaajili ya kesho?

Ni kitu gani kinakufanya wewe uamini kilichopo katika hiyo jezi ni msalaba huo unaodai ni wa wakristu?
 
Wewe ni nani amekwambia hizo ni jezi maalumu kwaajili ya kesho?

Ni kitu gani kinakufanya wewe uamini kilichopo katika hiyo jezi ni msalaba huo unaodai ni wa wakristu?
Ndugu yangu hapa inaonekana tatizo sio msalaba, sababu ilikuwa inatafutwa tu!
Zisingekuwa na msalaba ingeibuliwa ishu nyngine, huku mtaani wapo ambao hawajui hbr ya hiyo jezi lkn wanaombea tufungwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekuwa brain washed na makanisa wewe. Msalaba hauna mahusiano na ukristo.

Wewe zungumzia wakatoriki,walokole, kkkt, sda, n.k
 
Ukiachana na T.stars ambayo tyr imeshagawa mashabiki..hofu yangu kubwa nyingine ni kwa Simba sc, naziona dalili za haya yanayoendelea kuamia ktk team ya simba kwakua imeshaonesha nia na dalili za kufanya vzr..

Simba wasipochanga karata zao vizuri wajiandae kwa anguko kubwa maana siasa (hasa za sasa) na michezo ni hatari sana hapa Tanzania.

Rejea kauli ya H.Polepole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sielewi alichosema polepole lakini kama kina lengo la kuihusisha simba na com an viongozi wanasiasa wa awamu ya tano, basi naitakia simba kufungwa.
 
Ndugu yangu hapa inaonekana tatizo sio msalaba, sababu ilikuwa inatafutwa tu!
Zisingekuwa na msalaba ingeibuliwa ishu nyngine, huku mtaani wapo ambao hawajui hbr ya hiyo jezi lkn wanaombea tufungwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui tutapona lini haya matatizo tuliyonayo.
Ni aibu sana kukuta watu na akili zao wanakakamaa shingo,ukiuliza tatizo nini eti msalaba. Jezi zenyewe hawana hata uhakika kama ndio zimeandaliwa kutumika kesho.


Yale yale ya nani achinje na nani asichinje. Hizi imani waliozileta kweli waliwaweza waafrika.
 
Sielewi alichosema polepole lakini kama kina lengo la kuihusisha simba na com an viongozi wanasiasa wa awamu ya tano, basi naitakia simba kufungwa.
Kasema kufanya vzuri kwa Simba ni matokeo mazuri ya uwekezaji wa miundo mbinu katika awamu ya Tano.

Anyway mkuu, tatizo CCM wanapenda kudandia mambo yenye publicity ili wajitangaze.. hata ule msiba wa ndg .Ruge (R.i.p) ulitumika vby kwa baadhi ya watu.

Hii kitu inarostisha kada ya michezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unaendeleza yale yale ya waislamu kutokua na elimu..nimekwambia zungumza kuhusu mimi achana na hao mamilioni...au hauna shule umesoma madrasa tu wewe enh?
Nyie wakristo mna elimu ndio maana mmekuja na nabii Tito, enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewa...
 
Ndugu yangu akili fupi hujadili ujinga,tena wengine ni wasomi wa kuhushimika wanaoeneza ujinga huu kwa kuleta tafsri za kidini,imefikia sasa kila kitu tunaangalia au tunakuwa na mtazamo wa kidini,je wangeweka mwezi watu wangelalamika kwa misingi ya dini,jibu nadhani hapana,,kwa mfano mimi na tafsiri huo msalaba kama pande nne za Tanzania Kusini,kaskazini,Magaharibi na mashariki, Pia ni alama ya kuonyesha uchanya au kujiongeza ,kama watu wanaona alama ya msalaba ni ya kidini basi wasiandike hata alama ya kujumlisha sababu ni alama ya msalaba tofauti ,NGOZI NYEUSI SI BURE INA LAANA.kutwa tunashinda kujadili viti vya kipuuzi .Tanzania haina dini basi!
 
Hizi za msalaba ni mvutoless, aheri ntembee tumbo wazi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…