Hapa kweli kutafutana ubaya na waislam mbona wanalazimishwa kina samata na kichuya kuvaa msalabaSubiri waislamu waje watasema wametengwa kwa sababu wameona alama ya msalaba hapo kwenye jezi?
CC Zero IQ
Nimeshangaa hata mimi wakati jezi feki zipo kibao mitaani watu hujitengenezea tuKwakwel mm nimeishia kucheka tu humu mapovu ya kanisa X msikiti.
HIV MNAJUAJE KAMA HIYO NI JEZ YA TAIFA STARS KWA AJIL YA GAME.
HUENDA NI MTU KAJITENGENEZEA KWA AJIL YA KWENDA KUHIJI HUKOO KWA WAKRISTO ISRAEL
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna baadhi ya watu wanakosoa jezi hii Mpya ya Taifa Star je kwa mtazamo wako kosa lipo wapi?View attachment 1051907
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna baadhi ya watu wanakosoa jezi hii Mpya ya Taifa Star je kwa mtazamo wako kosa lipo wapi?View attachment 1051907
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unajiona ulivyo mtu wa ajabu ajabu?! Huyo mtu ni mwenzangu kivipi?! Kwahiyo kama unakula nae kitimoto, ndo nini?! Wewe jamaa unaonekana ni MDINI! Kimsingi sija-panic ispokuwa maishani mwangu nawachukia sana watu wa aina yako kwa sababu ni watu hatari sana kwa jamii!!! Kwahiyo unaweza kuendelea kujichekesha lakini kwangu mtu kama ni wewe ni very disgusting.mkuu ulivyo paniki nimecheka sana, nimemkuta na mwenzako huku mtaani (kijiwe cha kutengeneza pikipiki) kauwasha moto juu ya hii jezi.
kilicho fanya nifurahi sana ni vile namfahamu na tunakula(ga) nae kitimoto
NB. una uhakika upi mleta bandiko ni mkristo, amekuonesha vyeti vyake vya ubatizo
Msalaba ulipatikana kutokana na umbile la binadamu na si kinyume chakeBinadamu mwenyewe ameumbika kwa muundo wa msalaba. Sasa sijui tuanze kulia kwa kugugumia au tupige yowe la shangwe? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani wewe umeonaje?Subiri waislamu waje watasema wametengwa kwa sababu wameona alama ya msalaba hapo kwenye jezi?
CC Zero IQ
Wahariri wa hizo tshirts ni shilole, wema sepetu na wolper.Kiubunifu kulikuwa na sababu ya msingi kuweka 'msalaba' hapo?
Ni ujinga tu, yaani utadhani alidizaini mtu mmoja chumbani kisha anapitisha wazo na kuziprint yeye. 'Wahariri' wa tshirts hawaluliona hili?
Naamini umeandika nilichomaanisha.Msalaba ulipatikana kutokana na umbile la binadamu na si kinyume chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hizi jezi zimetengenezwa kwa msaada wa shirika la msalaba mwekundu?