Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,898
- 4,156
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna baadhi ya watu wanakosoa jezi hii Mpya ya Taifa Star je kwa mtazamo wako kosa lipo wapi?View attachment 1051907
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa kazi ipouzi matata sasa, kama wa England hiyo mistari kaskazini/kusini. Tuombee pande zote ziikubali!
Kuna baadhi ya watu wanakosoa jezi hii Mpya ya Taifa Star je kwa mtazamo wako kosa lipo wapi?View attachment 1051907
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hawapandagi Ambulence maana ina msalaba piaa...
Pia nadhani hawashirikiani na shirika la msalaba mwekundu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la heri The Uganda CranesAcheni uchochezi na UPOPOMA hiyo ni kawaida, Mambo ya udini hayatakiwi
View attachment 1051886View attachment 1051887
View attachment 1051888
[emoji28][emoji28]
Hahahaa.......!Subiri waislamu waje watasema wametengwa kwa sababu wameona alama ya msalaba hapo kwenye jezi?
CC Zero IQ
Sawa, ila linapokuja suala hili ni tofauti. Bulance ni universal symbol. Pia ya ambulance niwatu wameamua tu kuihusisha na msalaba ila sio msalaba ule. Pande zote kiurefu ziko sawa na zinakutana katikati. Hapa upande wa juu umesogea sana juu. Mkuu, kama kulikuwa njia ya kuepuka hili wasingeweka huo 'msalaba'. Najua hawakukusidia ila wana ufinyu wa mawazo.
Mkomentiji, hiyo ya kanisa, ya kwetu ina mwezi mchanga. Tehe teh hahahah
Binadamu mwenyewe ameumbika kwa muundo wa msalaba. Sasa sijui tuanze kulia kwa kugugumia au tupige yowe la shangwe? 😂😂😂😂😂😂Subiri waislamu waje watasema wametengwa kwa sababu wameona alama ya msalaba hapo kwenye jezi?
CC Zero IQ