Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Kubwa jinga
Wote makubwa jinga urithi wa imani za kigeni zimewaharibu eti uislam(islam) na ukristo(christ) ndiyo nini?je waafrika wasiofuata huo ujinga wenu hawaishi?

Mtakuja jitambua mmelishwa vinyesi vya wazungu na waarabu mkiwa makaburini.

Rejeeni imani zenu za UAFRIKA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote makubwa jinga urithi wa imani za kigeni zimewaharibu eti uislam(islam) na ukristo(christ) ndiyo nini?je waafrika wasiofuata huo ujinga wenu hawaishi?

Mtakuja jitambua mmelishwa vinyesi vya wazungu na waarabu mkiwa makaburini.

Rejeeni imani zenu za UAFRIKA

Sent using Jamii Forums mobile app
Zero brain uafrika ndio dini gani?
 
Dawa lifungwe tu hilo timu lao la kibashite
Dawa lifungwe tu hilo timu lao la kibashite
Hata wachezaji Waislam wasivae hizo jezi.

Huu sasa ni uchokozi wa hali ya juu.

Mpaka hapo washafeli,plus ile kamati yao ya uhamasishaji yan wapigwe tu kwakweli
Duhhh hawa jamaa sijui walidhani watu hawata tambua

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni uchochezi na UPOPOMA hiyo ni kawaida, Mambo ya udini hayatakiwi

soccer-shirts.jpg
soccer.jpg


Custom-Soccer-Jersey-.jpg
 
Kuna kila dalili wewe ndie kiumbe uliyejawa chuki, tena chuki za kijinga! Una uhakika kwamba mleta mada ni Mwislamu au ni chuki zako?! Mleta mada amesema wazi kwamba yeye ni Mkristo, unaweza ku-prove otherwise?!

Btw, ile minyukano isiyoisha kati ya Wasabato na Walokole dhidi ya Wakatoliki, ni lipi dhehebu la Kiislamu kati ya hayo?!
mkuu ulivyo paniki nimecheka sana, nimemkuta na mwenzako huku mtaani (kijiwe cha kutengeneza pikipiki) kauwasha moto juu ya hii jezi.

kilicho fanya nifurahi sana ni vile namfahamu na tunakula(ga) nae kitimoto

NB. una uhakika upi mleta bandiko ni mkristo, amekuonesha vyeti vyake vya ubatizo
 
Write your reply...Naona kuna mijitu inatulazimisha waislamu tuvae misalaba. Tuko makini sana na njama zenu za kutuvalisha masanamu yenu ya makanisani . Sasa we Zipompa unaanzia wapi kututukana?? TUKISEMA HII SERIKALI NI YA KIKRISTO MNABISHA, HAYA SASA ISHARA NI HIZI
wapi nimekutukana mkuu,dini yenu ina shida sana. mlianza mfitini hadi diamond kisa kuvaa cheni yenye msalaba
 
Subiri waislamu waje watasema wametengwa kwa sababu wameona alama ya msalaba hapo kwenye jezi?

CC Zero IQ
Kiubunifu kulikuwa na sababu ya msingi kuweka 'msalaba' hapo?
Ni ujinga tu, yaani utadhani alidizaini mtu mmoja chumbani kisha anapitisha wazo na kuziprint yeye. 'Wahariri' wa tshirts hawaluliona hili?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom