Kimwerymdodo5
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 2,043
- 3,305
Nimekumbuka kisa cha DEMBA BA na Newcastle yake hawa wakwetu wanavaa sportpesa.😎😎😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha udini wee kibibi.Hiyo pia ni alama ya kujumlishaHata wachezaji Waislam wasivae hizo jezi.
Huu sasa ni uchokozi wa hali ya juu.
Niko poa sana tu. Hapana kwa kweli nnazo zile za zamani ndo nitatinga kesho kwenda kwa MkapaNi aje mrembo? Ushanunua jezi yako ya Taifa yenye msalaba? 😜
...kumbe akili huna wee kigagula!Hata wachezaji Waislam wasivae hizo jezi.
Huu sasa ni uchokozi wa hali ya juu.
Nini hicho? Kuna nembo ipi TANZANIA kama hiyo?...kumbe akili huna wee kigagula!
Unaona kabisa kuwa huo ni msalaba?
Haya na hiyo jezi yenye logo ya serengeti wasiivae pia kwa kuwa imetoka kwenye kampuni inayotengeneza vilevi ambavyo pia ni haramu!
Sent using Vertu Signature Cobra
Ujinga, kwa hiyo waislam wasifanye kazi Red Cross?WasiajiliweWorld Vision? Wasifanye kazi na makanisa na taasisi zao?
Mdhamini tu wa Taifa Stars ni kampuni ya bia, je uislam unaruhusu bia?
Simba na Yanga wanadhaminiwa na Kampuni ya kamali Sportpesa, je nao wasusiwe?
Tukiweka dhana za udini kwenye vitu vya msingi tutashindwa hata kuishi!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wavae za serenget breweriesHata wachezaji Waislam wasivae hizo jezi.
Huu sasa ni uchokozi wa hali ya juu.