Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Nimekumbuka kisa cha DEMBA BA na Newcastle yake hawa wakwetu wanavaa sportpesa.😎😎😎
 
Hiyo ni alama, inaweza ikawa na maana nyingine tofauti na mawazo yako.

T[emoji769]
 
Ni aje mrembo? Ushanunua jezi yako ya Taifa yenye msalaba? 😜
Niko poa sana tu. Hapana kwa kweli nnazo zile za zamani ndo nitatinga kesho kwenda kwa Mkapa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hata wachezaji Waislam wasivae hizo jezi.

Huu sasa ni uchokozi wa hali ya juu.
...kumbe akili huna wee kigagula!
Unaona kabisa kuwa huo ni msalaba?
Haya na hiyo jezi yenye logo ya serengeti wasiivae pia kwa kuwa imetoka kwenye kampuni inayotengeneza vilevi ambavyo pia ni haramu!

Sent using Vertu Signature Cobra
 
Write your reply...Naona kuna mijitu inatulazimisha waislamu tuvae misalaba. Tuko makini sana na njama zenu za kutuvalisha masanamu yenu ya makanisani . Sasa we Zipompa unaanzia wapi kututukana?? TUKISEMA HII SERIKALI NI YA KIKRISTO MNABISHA, HAYA SASA ISHARA NI HIZI
 
Ujinga, kwa hiyo waislam wasifanye kazi Red Cross? Wasiajiliwe World Vision? Wasifanye kazi na makanisa na taasisi zao?

Mdhamini tu wa Taifa Stars ni kampuni ya bia, je uislam unaruhusu bia?

Simba na Yanga wanadhaminiwa na Kampuni ya kamali Sportpesa, je nao wasusiwe?

Tukiweka dhana za udini kwenye vitu vya msingi tutashindwa hata kuishi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...kumbe akili huna wee kigagula!
Unaona kabisa kuwa huo ni msalaba?
Haya na hiyo jezi yenye logo ya serengeti wasiivae pia kwa kuwa imetoka kwenye kampuni inayotengeneza vilevi ambavyo pia ni haramu!

Sent using Vertu Signature Cobra
Nini hicho? Kuna nembo ipi TANZANIA kama hiyo?
 
Ujinga, kwa hiyo waislam wasifanye kazi Red Cross? Wasiajiliwe World Vision? Wasifanye kazi na makanisa na taasisi zao?

Mdhamini tu wa Taifa Stars ni kampuni ya bia, je uislam unaruhusu bia?

Simba na Yanga wanadhaminiwa na Kampuni ya kamali Sportpesa, je nao wasusiwe?

Tukiweka dhana za udini kwenye vitu vya msingi tutashindwa hata kuishi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasiajiliwe = wasiajiriwe

Nani alikudanganya taifa Stars ni red cross au world vision?
 
Wamekosea! Makonda yumo si ndiye mhamasishaji? Hizo hazifai
 
Wamekosea! Makonda yumo si ndiye mhamasishaji? Hizo hazifai
 
We mtoa Uzi ni muislamu usitulishe matango poli....kwanza hizo jezi zingekua Na kajambo kadogo2 cha kiislam nisingeona mkristo anashupaza shingo kuja hapa kuleta tofauti ila nyie ni watu hatari mnachuki sana sijui mnafundishwaga nini misikitini....mjiongeze sio kila neno mliloletewa Na waarabu mlibebe mengine mawazo ya kiibilisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo timu ha taifa washaingia wanasiasa kocha hana hamasa hata kidogo kama hayupo vile wanasiasa tu ndo wanahangaika na timu sijawahi ona dunian tff ndo ilitakiwa kulibeba hili kwa akili za kiprofessional sio kukimbia majukumu yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom