Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Mshenz ni wewe.
Inawezekana wewe ndo ulieweka ule msalaba kwenye jezi ukidhani maustadh hatagundua.

Kama kawaida Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu na kesho tutafungwa utake usitake.

Kanisa 0 - 5 Uganda.
Tutolee ujinga wako hapa! Unawajua ma ustadh ww?
 
hiyo jezi haina nembo ya PUMA! ADIDAS! NIKE! REEBOK! NB! Fila! UHP! et al! Ya wapi hiyo?
 
Ndo tabia zao ku raise hoja za kipumbavu, nakumbuka nikiwa kidato cha nne kuna dogo alikojolea msaafu maeneno ya mbagala jamaa walihamaki wakaenda polisi wakiomba wapewe uyo dogo wamshughulikie, imagine ! Watu wazima kabisa ! Wakat yule dogo hajui hili wala lile, mkuu they are foolish!
Kama hajui hili wala lile kwanini huyo dogo wa kikristo asikojolee biblia? , mkuu unapozungumzia hizi ishu za kidini jaribu kubalance mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi IPO salama na tunapoelekea kuzuri, ni wapuuzi wachache tu wanapost ujinga ujinga tu, Subiri kesho uone kama watanzania hawataishangilia timu yao, nadhani kuna mganda mmoja humu anasambaza huo ujinga.
Kama nchi ipo salama mbona mmeweka msalaba peke yake mngeongeza na alama ya tasbih kwenye jezi.
Bila ya kesho tunapigwa Hamsa

Kanisa 0 - 5 Uganda
 
TFF wameleta uchochezi wa kidini.

Haiwezekani ustaadhi Mbwana Ali Samatta avalishwe hizi sare za kwaya.
tapatalk_1553345830760.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
sioni faida inayopatikana kwa kuwafisha watu tshirt ya msalaba,japo ni dalili mbaya kwelikweli kuhusu bongo za watu walio order hizi tshirt
Mbona zile za logo ya kilevi cha serengeti lager hamkuzilalamikia, afu haohao wachezaji na nyie washabiki mnavaa jezi za yanga na simba zenye logo ya Kilimanjaro lager lakin hamlalamiki, unafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshenz ni wewe.
Inawezekana wewe ndo ulieweka ule msalaba kwenye jezi ukidhani maustadh hatagundua.

Kama kawaida Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu na kesho tutafungwa utake usitake.

Kanisa 0 - 5 Uganda.
Wew nae umeanza kuweka gundu ☹️☹️
 
Nenda zako Pemba ukahemewe Kisogoni mwarabu koko weeee. Tazama Yeboyebo zako mguuni na Suruali Kimini Manina weee ujinga umewajaa kichwani hakuna lolote shithole kabisa
Na kama mimi ni wa bara?

Kumbe nimeamini watu wanahaki ya kugawanyika kama tunatengana hivi...
Alokwambia mzanzibar lazima ahemewe kisogoni ni nani?

Pumbafv mkubwa wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom