Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Hv mbona tuna jezi nzuri tu, ingawa mi ni mpenzi wa simba ile jezi ya blue ,nyeusi na njano inafaa kabisa hawa waliobadili ni wapenda hela tu za manunuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe wa simba sijaipenda hii jezi kwasababu imekaa kiyanga yanga basi

Lakini watu wengine wanaonekana wameipenda jezi ila ile alama ya msalaba inawafanya waichukie jambo ambalo ni unafiki

Ofisi nyingi zina first aid kit na lina alama ya msalaba mwekundu na linatumiwa na watu wadini zote lakini sijawahi kusikia wakipiga vita kua msalaba utolewe kwenye lile boksi la msalaba mwekundu

Sent using unknown device
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wabongo bhana eti mm hiyo jezi sivai ! Mavi kabisa shubaamit sasa wewe usipoivaa tutapungukiwa nn? Angesema samatta havai hapo sawa ila unasema wewe Pimbi usijyejulikana kuna hasara Gani nasema hivii hizo jezi wangeweka na verse moja ya Biblia ingependeza sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Waliokosoa kwa mtazamo Wa kibaguzi k. Mama zao, mikund. Ya baba zao, hata wao pia ni mak.ma na mikund..
 
Serikali haina dini ila watu wake wana dini! Tanzania haina dini ila watu wake wana dini! Watu walishatahadharisha mapema tu hapa! Haya mambo ya misalaba kwenye jezi ya taifa sinunui hata Kama Mimi ni mkristo! This is not fair and this is our country View attachment 1051778View attachment 1051779

Sent using Jamii Forums mobile app

Akili za ajabu sana hizi! ...رحمك الله (Rahmak Allah).

Kuna uwezekano siku moja watu wenye akili za aina hii mkadai herufi “T” iondolewe kwenye jina “Tanzania” kwa sababu imekaa kimsalabasalaba au arithmetic operation signs “+” na “x” zipigwe marufuku shuleni kwa sababu ileile!
 
We shoga? Mbona umekazana nikuzungumzie wewe wakati mada sio yako
Humu hata wewe una elimu ya juu ila nataka kujua ya mama yako

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Sasa mama yangu anaingia kivipi wakati hahusiki haya basi mama yangu hana elimu lakini hawezi kumind kisa jezi inaashiria msalaba au alama ya mwezi basi kukata mzizi wa fitina jezi iwekwe picha ya nguruwe..
 
Sasa mama yangu anaingia kivipi wakati hahusiki haya basi mama yangu hana elimu lakini hawezi kumind kisa jezi inaashiria msalaba au alama ya mwezi basi kukata mzizi wa fitina jezi iwekwe picha ya nguruwe..
Tena nguruwe aliefanana ukoo wenu
Mjipange wote mkila mavi kama nguruwe

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Tena nguruwe aliefanana ukoo wenu
Mjipange wote mkila mavi kama nguruwe

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hahahaha...blaza njoo tule nguruwe upate akili...maana unafeli sana...elimu dunia imekupita pembeni...hahahaha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom