Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Hahahaha...blaza njoo tule nguruwe upate akili...maana unafeli sana...elimu dunia imekupita pembeni...hahahaha
Ungekuwa unanijua sawa maana nina elimu kuliko mnaemtegemea katika ukoo wenu
Naongea lugha za kutosha na bado naweza kuwa baba yako wa kambo lakini nimegairi baada ya kuniambia mama yako hana elimu

Nilikuwa nafikiri wakristo wote mna elimu kama mnavyosema sisi hatuna
Hapo mpe pole mama yako kakosa mtu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kwaio na elimu yako yote kuubwa kama unavyojinasibu ndo ukapatwa na jazba baada ya kuona jezi imechorwa kama msalaba..? Sasa hio elimu inakusaidia nini? Maana umeshindwa tofautisha mambo yenye msingi wa kawaida na imani..?
 
Mi napendekeza hizi zenye msalaba ziwe special maana zimetokea kukubalika na watanzania wengi sana

kutokana na jinsi ilivyo dizainiwa vizuri pamoja na ile alama ya msalaba kuwa na ukubwa unao onekana vizuri tofauti na tule tumisalaba twa kwenye timu ya barcelona na ac milan tulivyo tudogo yaani hatuna show nzuri

Sent using unknown device
 
Kwaio na elimu yako yote kuubwa kama unavyojinasibu ndo ukapatwa na jazba baada ya kuona jezi imechorwa kama msalaba..? Sasa hio elimu inakusaidia nini? Maana umeshindwa tofautisha mambo yenye msingi wa kawaida na imani..?
Sababu ya kukujibu ni maneno yako kuhusu elimu.
Naona una dementia unasahau hata nili quote wapi mpaka tumefikia kote huku
Kwa hili la wewe kutokujua naona mjadala wetu ufungwe

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Mi napendekeza hizi zenye msalaba ziwe special maana zimetokea kukubalika na watanzania wengi sana, kutokana na jinsi ilivyo dizainiwa vizuri pamoja na ile alama ya msalaba

Sent using unknown device
Mi nazipenda hizo zenye msalaba maana zimereflect uhalisia kwamba timu ya taifa yenyewe ni msalaba kwetu sisi wapenda soka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukisikia mfumo kristo ndo huo. Udin udin Ivi
Kiukweli naona nchi yetu imeanza kuwa tofauti na jinsi ilivyokua miaka ya nyuma, yani inafika muda watu wanatafuta pointi ndogo/kubwa kuanzisha taharuki katika jamii.

Nimepita katika mitandao ya kijamii watu wamekasirika na kutuhumu kuwa taifa linagawanywa kidini kwa sababu ya alama ya msalaba iliyo katika jezi ya timu ya taifa.

Kama nchi tumefikia hatua ya kuanza kugawana namna hii? Hii chuki imeanzia wapi maana inafikia watu wanatoa maoni kuwa kesho ni Msalaba 0- Uganda 4

Tanzania inaelekea wapi aisee?
View attachment 1052312

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hama hama kuunga mkono juhudi siyo dhambi. Watanzania wanaohamia Lesotho kuunga mkono juhudi ruksa. Mmesoma vizuri mfano wa viongozi wenu.
 
TFF wakiwa na akili nzuri hizi jezi hazitavaliwa kamwe vinginevyo kutakuwa na viroja uwanjani kuhusu jezi hizi kutoka kwa wapenzi na mashabiki wa Taifa Stars labda wazivae ugenini.

Hizo jezi ni za kutupilia mbali, hazifai kuvaliwa na Taifa stars.
 
Kiukweli naona nchi yetu imeanza kuwa tofauti na jinsi ilivyokua miaka ya nyuma, yani inafika muda watu wanatafuta pointi ndogo/kubwa kuanzisha taharuki katika jamii.

Nimepita katika mitandao ya kijamii watu wamekasirika na kutuhumu kuwa taifa linagawanywa kidini kwa sababu ya alama ya msalaba iliyo katika jezi ya timu ya taifa.

Kama nchi tumefikia hatua ya kuanza kugawana namna hii? Hii chuki imeanzia wapi maana inafikia watu wanatoa maoni kuwa kesho ni Msalaba 0- Uganda 4

Tanzania inaelekea wapi aisee?
View attachment 1052312

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakwambia hizi ni jezi official za Taifa stars? ulimuona mchezaji gani kavaa? yani jezi zitengenezwe uko mtaani kwa mapenzi yao halafu useme za taifa stars...
 
Mi nazipenda hizo zenye msalaba maana zimereflect uhalisia kwamba timu ya taifa yenyewe ni msalaba kwetu sisi wapenda soka

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu pili itaonesha kua sisi ni first aid kit kwenye upande wa soka yani tunagawa dozi ambayo tunsitoa kwenye box la msalaba mwekundu, kwa dhana hii tutaweza kufanikisha kuwatoa mchezoni wapinzani hivyo kujipatia ushindi mnono

Sent using unknown device
 
Na kwa uwezo wa alah taifa stars mtatoka na aibu pale.mtafungwa bao tano kwa nunge
Kiukweli naona nchi yetu imeanza kuwa tofauti na jinsi ilivyokua miaka ya nyuma, yani inafika muda watu wanatafuta pointi ndogo/kubwa kuanzisha taharuki katika jamii.

Nimepita katika mitandao ya kijamii watu wamekasirika na kutuhumu kuwa taifa linagawanywa kidini kwa sababu ya alama ya msalaba iliyo katika jezi ya timu ya taifa.

Kama nchi tumefikia hatua ya kuanza kugawana namna hii? Hii chuki imeanzia wapi maana inafikia watu wanatoa maoni kuwa kesho ni Msalaba 0- Uganda 4

Tanzania inaelekea wapi aisee?
View attachment 1052312

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli naona nchi yetu imeanza kuwa tofauti na jinsi ilivyokua miaka ya nyuma, yani inafika muda watu wanatafuta pointi ndogo/kubwa kuanzisha taharuki katika jamii.

Nimepita katika mitandao ya kijamii watu wamekasirika na kutuhumu kuwa taifa linagawanywa kidini kwa sababu ya alama ya msalaba iliyo katika jezi ya timu ya taifa.

Kama nchi tumefikia hatua ya kuanza kugawana namna hii? Hii chuki imeanzia wapi maana inafikia watu wanatoa maoni kuwa kesho ni Msalaba 0- Uganda 4

Tanzania inaelekea wapi aisee?
View attachment 1052312

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi wewe unafikiri alie weka huo msalaba hapo ni juha anajua anachofanya hiyo ni jezi ya taifa alama zinanazotakiwa hapo nizile alama zinazowakilisha taifa hilo liko wazi, hayatufate afya mbaya ya akili tukatae sio msalaba ni alama tu
Sasa niambie alama hiyo inawakilisha nini ktk taifa letou?
Halafu unajitia ujuha kuuliza tanzania inaelekea wapi
Huoni inaelekea ktk MSALABA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom