⌚💯Mbowe?
Mbowe anaona aibu kwa yaliyotokea. Miaka 20 na bado alitaka kung'ang'ania akshindwa, Lissu akaweza kufanya jambo kwa muda mfupi sana.Mbowe Hana baya na mtu kaamuwa kukip low profile.
Mtoto kautaka,mtoto kautaka, si alijiona amekuwa kugombea uenyekiti wa Chadema kwa kumfunga Lissu,mtoto kautaka mtoto kautakaAnaanza kusahaulika mioyoni na midomoni mwa watu anapotea kimya kimya jambo ambalo so zuri nadhani.
Nashauri mtafutieni ziara hata ya mchongo tu katika mikoa ya pembezoni. Ili angalau magazeti na TV zimuonyeshe. Ni ushauri tu. Hoja haipigwi mawe.