Nashauri Jeshi la Wananchi Lilinde Uhai wa Wafuatao Mpaka Awamu Ijayo

Nashauri Jeshi la Wananchi Lilinde Uhai wa Wafuatao Mpaka Awamu Ijayo

Muliro anajua nini kupotea kwa watu nchini? Ungesema kila kamanda wa mkoa aje aeleze waliopotea mkoani kwake. By the way siri hulindwa haitatolewa labda uje utawala mwingine wa chama kipya
 
WAkushughulikiwa ni dereva mkuu.Na dereva mkuu anajulikana.Maana dereva mkuu ndiye aliwaagiza wafanye huo ushenzi.
 
Back
Top Bottom