Pre GE2025 Nashauri Kanisa liingilie kati kuinusuru CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Huu ndio ushauri wangu

Kazi za kanisa katika jamii ni pamoja na kusaidia kuondoa migogoro kwa kutoa huduma za amani na upatanishi.

Kanisa lina jukumu muhimu la kuwa kiungo cha umoja, kutoa mwongozo wa maadili na haki, na kuwasaidia watu kuelewa na kutatua tofauti zao kwa njia ya amani.

Vilevile, kanisa linahamasisha mshikamano na ushirikiano kati ya watu katika jamii, linalenga kukuza maelewano na kupunguza migogoro kwa njia ya mazungumzo na maelewano.
 
Huu ndio ushauri wangu

Kazi za kanisa katika jamii ni pamoja na kusaidia kuondoa migogoro kwa kutoa huduma za amani na upatanishi. Kanisa lina jukumu muhimu la kuwa kiungo cha umoja, kutoa mwongozo wa maadili na haki, na kuwasaidia watu kuelewa na kutatua tofauti zao kwa njia ya amani. Vilevile, kanisa linahamasisha mshikamano na ushirikiano kati ya watu katika jamii, linalenga kukuza maelewano na kupunguza migogoro kwa njia ya mazungumzo na maelewano.
CHADEMA sio chama cha kidini
downloadfile-2.jpg
 
Hapa unathibitisha hoja kongwe ya udini ndani ya CHADEMA!

Hakika kanisa Lina wajibu wa kuokoa kigangwe chake!
 
Huu ndio ushauri wangu

Kazi za kanisa katika jamii ni pamoja na kusaidia kuondoa migogoro kwa kutoa huduma za amani na upatanishi. Kanisa lina jukumu muhimu la kuwa kiungo cha umoja, kutoa mwongozo wa maadili na haki, na kuwasaidia watu kuelewa na kutatua tofauti zao kwa njia ya amani. Vilevile, kanisa linahamasisha mshikamano na ushirikiano kati ya watu katika jamii, linalenga kukuza maelewano na kupunguza migogoro kwa njia ya mazungumzo na maelewano.
Waombe Bakwata wafanye hivyo.
 
Attachments

  • images (13) (1).jpeg
    images (13) (1).jpeg
    10.9 KB · Views: 2
Huu ndio ushauri wangu

Kazi za kanisa katika jamii ni pamoja na kusaidia kuondoa migogoro kwa kutoa huduma za amani na upatanishi. Kanisa lina jukumu muhimu la kuwa kiungo cha umoja, kutoa mwongozo wa maadili na haki, na kuwasaidia watu kuelewa na kutatua tofauti zao kwa njia ya amani. Vilevile, kanisa linahamasisha mshikamano na ushirikiano kati ya watu katika jamii, linalenga kukuza maelewano na kupunguza migogoro kwa njia ya mazungumzo na maelewano.
Tumekuelewa ndugu katika imani.
Baada ya ukaskazini sasa udini.
 
Huu ndio ushauri wangu

Kazi za kanisa katika jamii ni pamoja na kusaidia kuondoa migogoro kwa kutoa huduma za amani na upatanishi. Kanisa lina jukumu muhimu la kuwa kiungo cha umoja, kutoa mwongozo wa maadili na haki, na kuwasaidia watu kuelewa na kutatua tofauti zao kwa njia ya amani. Vilevile, kanisa linahamasisha mshikamano na ushirikiano kati ya watu katika jamii, linalenga kukuza maelewano na kupunguza migogoro kwa njia ya mazungumzo na maelewano.
CHADEMA ni moja wewe, team mbowe na timu lissu usidhani **** mpasuko. Hali iko hivyo kutokana na uchaguzi wao wa viongozi wa juu, wakimaliza uchaguzi mambo yanatuama, makundi yanavunjika na kuwa kundi moja wanaponya majeraha yao ya kisiasa. Hata CCM huwa na makundi, tena makundi mengi kulingana na wingi wao inapofikia uwaniaji wa urais kupitia chama hicho. Huo sio mgogoro mkubwa kiasi cha kanisa kujiingiza kusuluhisha wakati ni joto tu la uchaguzi kupanda
 
Back
Top Bottom