Pre GE2025 Nashauri Kanisa liingilie kati kuinusuru CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huu ndio ushauri wangu

Kazi za kanisa katika jamii ni pamoja na kusaidia kuondoa migogoro kwa kutoa huduma za amani na upatanishi.

Kanisa lina jukumu muhimu la kuwa kiungo cha umoja, kutoa mwongozo wa maadili na haki, na kuwasaidia watu kuelewa na kutatua tofauti zao kwa njia ya amani.

Vilevile, kanisa linahamasisha mshikamano na ushirikiano kati ya watu katika jamii, linalenga kukuza maelewano na kupunguza migogoro kwa njia ya mazungumzo na maelewano.
Funguka, hilo ni Kanisa lipi?
 
Hata yesu aliwaponya wenye Imani na waliokubali kutubu na kumtumikia Mungu, Kanisa linaleta suruhu Kwa wenye utayari wa kupewa huduma Hiyo, Je wafuasi/ wakuu wa Chadema wapo tayari kupata huduma ya Kanisa?
 
Huu ndio ushauri wangu

Kazi za kanisa katika jamii ni pamoja na kusaidia kuondoa migogoro kwa kutoa huduma za amani na upatanishi.

Kanisa lina jukumu muhimu la kuwa kiungo cha umoja, kutoa mwongozo wa maadili na haki, na kuwasaidia watu kuelewa na kutatua tofauti zao kwa njia ya amani.

Vilevile, kanisa linahamasisha mshikamano na ushirikiano kati ya watu katika jamii, linalenga kukuza maelewano na kupunguza migogoro kwa njia ya mazungumzo na maelewano.
Hawajaomba kusaidiwa, lakini pia chadema haijafikia stage hiyo
 
Mwenyekiti alijenga genge la wahuni ndani ya Chadema, Lisu alikaidi kuwa msukule wa Mwenyekiti.
 
Kwa mujibu wa Lisu ni kweli walikutana na Mbowe kanisani kujaribu kusuluhishwa.
 
Back
Top Bottom