Lissu, Mbowe, Heche na Wenje wote wanaswali kanisa mojaKwanini isiwe Msikiti?
CHADEMA sio chama cha kidiniHuu ndio ushauri wangu
Kazi za kanisa katika jamii ni pamoja na kusaidia kuondoa migogoro kwa kutoa huduma za amani na upatanishi. Kanisa lina jukumu muhimu la kuwa kiungo cha umoja, kutoa mwongozo wa maadili na haki, na kuwasaidia watu kuelewa na kutatua tofauti zao kwa njia ya amani. Vilevile, kanisa linahamasisha mshikamano na ushirikiano kati ya watu katika jamii, linalenga kukuza maelewano na kupunguza migogoro kwa njia ya mazungumzo na maelewano.
Sina maana hioHapa unathibitisha hoja kongwe ya udini ndani ya CHADEMA!
Hakika kanisa Lina wajibu wa kuokoa kigangwe chake!
Waombe Bakwata wafanye hivyo.Huu ndio ushauri wangu
Kazi za kanisa katika jamii ni pamoja na kusaidia kuondoa migogoro kwa kutoa huduma za amani na upatanishi. Kanisa lina jukumu muhimu la kuwa kiungo cha umoja, kutoa mwongozo wa maadili na haki, na kuwasaidia watu kuelewa na kutatua tofauti zao kwa njia ya amani. Vilevile, kanisa linahamasisha mshikamano na ushirikiano kati ya watu katika jamii, linalenga kukuza maelewano na kupunguza migogoro kwa njia ya mazungumzo na maelewano.
Tumekuelewa ndugu katika imani.Huu ndio ushauri wangu
Kazi za kanisa katika jamii ni pamoja na kusaidia kuondoa migogoro kwa kutoa huduma za amani na upatanishi. Kanisa lina jukumu muhimu la kuwa kiungo cha umoja, kutoa mwongozo wa maadili na haki, na kuwasaidia watu kuelewa na kutatua tofauti zao kwa njia ya amani. Vilevile, kanisa linahamasisha mshikamano na ushirikiano kati ya watu katika jamii, linalenga kukuza maelewano na kupunguza migogoro kwa njia ya mazungumzo na maelewano.
Sina lengo hiloTumekuelewa ndugu katika imani.
Baada ya ukaskazini sasa udini.
Akili yako haifikirii kitu kingine zaidi ya udini.Sina lengo hilo
Ndo maana wanaoparurana huko Chadema ni wakristo tuu, waislam wanawa zoom tuu.Sina lengo hilo
Wewe akili yako ktk siasa tu?Akili yako haifikirii kitu kingine zaidi ya udini.
Shehe Ponda ana KADI ya Chadema anaweza kusaidiaLissu, Mbowe, Heche na Wenje wote wanaswali kanisa moja
Atakua kama mgeni mwalikwaShehe Ponda ana KADI ya Chadema anaweza kusaidia
Siasa ndiyo kila kitu,dini za kutoka Mashariki ya Kati zimejaa ulaghai na mambo ya kufikirikq.Wewe akili yako ktk siasa tu?
Mzushi mkubwa wewe. Mbowe ni Mluteri na Lissu ni Mkatoliki.Lissu, Mbowe, Heche na Wenje wote wanaswali kanisa moja
Hayo mawazo yako na usitake kila mtu awe na mawazo kama yakoSiasa ndiyo kila kitu,dini za kutoka Mashariki ya Kati zimejaa ulaghai na mambo ya kufikirikq.
Sorry, dini mojaMzushi mkubwa wewe. Mbowe ni Mluteri na Lissu ni Mkatoliki.
CHADEMA ni moja wewe, team mbowe na timu lissu usidhani **** mpasuko. Hali iko hivyo kutokana na uchaguzi wao wa viongozi wa juu, wakimaliza uchaguzi mambo yanatuama, makundi yanavunjika na kuwa kundi moja wanaponya majeraha yao ya kisiasa. Hata CCM huwa na makundi, tena makundi mengi kulingana na wingi wao inapofikia uwaniaji wa urais kupitia chama hicho. Huo sio mgogoro mkubwa kiasi cha kanisa kujiingiza kusuluhisha wakati ni joto tu la uchaguzi kupandaHuu ndio ushauri wangu