Pre GE2025 Nashauri Kanisa liingilie kati kuinusuru CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Funguka, hilo ni Kanisa lipi?
 
Hata yesu aliwaponya wenye Imani na waliokubali kutubu na kumtumikia Mungu, Kanisa linaleta suruhu Kwa wenye utayari wa kupewa huduma Hiyo, Je wafuasi/ wakuu wa Chadema wapo tayari kupata huduma ya Kanisa?
 
Hawajaomba kusaidiwa, lakini pia chadema haijafikia stage hiyo
 
Mwenyekiti alijenga genge la wahuni ndani ya Chadema, Lisu alikaidi kuwa msukule wa Mwenyekiti.
 
Kwa mujibu wa Lisu ni kweli walikutana na Mbowe kanisani kujaribu kusuluhishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…