Nashauri katoliki waendelee kusoma waraka wa bandari kila wiki baada ya misa hadi Desemba

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Popote walipo TEC chukueni ushauri huu!

Waraka uendelee kusomwa kila wiki baada ya misa hadi disemba!

Wiki hii serikali waliandaa kila aina ya vigisu na spinning kwa kumtumia Mzee Kikwete na majukwaa, matamasha na maelekezo kwa waandishi ili kukava story zao katika kufumba habari ya waraka.

Nashauri waraka uendelee kusomwa hadi pale serikali itakapojibu au kusitisha mkataba huo hata kwa hasara ndogo iliyopo sasa!
 
Endeleeni kujidanganya na kujipalia mkaa lakini kuna muda tutachoka kusikiliza mahubiri ya mkataba wa bandari maana hayo ni mambo ya kisiasa na Sisi tunaenda kanisani kusali kwahiyo kuna wakati tutawasusia na huo waraka wenu kila mkitaka kuusoma tutatoka nje au tunachelewa Misa.
 
Sometimes busara ni kukaa kimya
 
usomwe tu hadi pale itakapoamuliwa vinginevyo
Maana Wameupeleka Ambako Gazeti Halifiki
Hata Lifkifika Waumini Hawana Uwezo Wa Kununua, Sasa Catholic Wanawasomea Bure
 
Endeleeni kujidanganya na kujipalia mkaa lakini kuna muda tutachoka kusikiliza mahubiri ya mkataba wa bandari maana hayo ni mambo ya kisiasa na Sisi tunaenda kanisani kusali kwahiyo kuna wakati tutawasusia na huo waraka wenu kila mkitaka kuusoma tutatoka nje au tunachelewa Misa.
Cheleweni na tokeni nje tu ila cha muhimu kila mtu aelewe. Ukishaelewa wewe inatosha 🤣
 
Popote walipo TEC chukueni ushauri huu!

Waraka uendelee kusomwa kila wiki baada ya misa hadi disemba!

Wiki hii serikali waliandaa kila aina ya vigisu na spinning kwa kumtumia Mzee Kikwete na majukwaa, matamasha na maelekezo kwa waandishi ili kukava story zao katika kufumba habari ya waraka.

Nashauri waraka uendelee kusomwa hadi pale serikali itakapojibu au kusitisha mkataba huo hata kwa hasara ndogo iliyopo sasa!
Wawapelekee na bakwata wausome misikitini.
 
Unaweza sema wapo na uchungu na rasilimali za nchi kumbe kuna namna maslahi yao yatabanwa.

Nawashauri waubandike hadi kwenye nguzo za umeme.
Uchungu gani wanao
Usicheze na maslahi ya watu
Yaani miaka zaidi ya 60 wananyonya bure kwa kisingizio cha misamaha halafu ukate mirija ghafla subutu lazima walie tu
Hapa ni unafiki tu na kama wao sio wanafiki na wanamuogopa Mungu waseme ukweli kuwa kulikuwa na ugali hapo ila mnaumwagia mchanga
 
Back
Top Bottom