Nashauri katoliki waendelee kusoma waraka wa bandari kila wiki baada ya misa hadi Desemba

Nashauri katoliki waendelee kusoma waraka wa bandari kila wiki baada ya misa hadi Desemba

Mtoa mada, kwanini isiwe hadi Oktoba 2030 atakapotoka Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania?!!!!
 
Mtoa mada, kwanini isiwe hadi Oktoba 2030 atakapotoka Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania?!!!!
kwa maombezi ya bikira maria! tusali matendo ya huruma kwa wote walioshiriki mkataba huo
 
Uchungu gani wanao
Usicheze na maslahi ya watu
Yaani miaka zaidi ya 60 wananyonya bure kwa kisingizio cha misamaha halafu ukate mirija ghafla subutu lazima walie tu
Hapa ni unafiki tu na kama wao sio wanafiki na wanamuogopa Mungu waseme ukweli kuwa kulikuwa na ugali hapo ila mnaumwagia mchanga
Hiki ndio mzizi wa yote hayo hayo mengine ni porojo tu
 
Tutaendelea kusoma waraka huo hadi Kwaresma mwakani.
Hatutaki mambo ya kihuni sisi.
 
Back
Top Bottom