usomwe tu kama salaMimi kama mjukuu wa mfalme wa Dubai naunga mkono hoja
au unaonaje nduguIpoh ivo
usomwe tu hadi pale itakapoamuliwa vinginevyoWashikilie Hapo Hapo Wausome Mpaka Waumini Waelewe
Sometimes busara ni kukaa kimyaPopote walipo TEC chukueni ushauri huu!
Waraka uendelee kusomwa kila wiki baada ya misa hadi disemba!
Wiki hii serikali waliandaa kila aina ya vigisu na spinning kwa kumtumia Mzee Kikwete na majukwaa, matamasha na maelekezo kwa waandishi ili kukava story zao katika kufumba habari ya waraka.
Nashauri waraka uendelee kusomwa hadi pale serikali itakapojibu au kusitisha mkataba huo hata kwa hasara ndogo iliyopo sasa!

Maana Wameupeleka Ambako Gazeti Halifikiusomwe tu hadi pale itakapoamuliwa vinginevyo
Cheleweni na tokeni nje tu ila cha muhimu kila mtu aelewe. Ukishaelewa wewe inatosha 🤣Endeleeni kujidanganya na kujipalia mkaa lakini kuna muda tutachoka kusikiliza mahubiri ya mkataba wa bandari maana hayo ni mambo ya kisiasa na Sisi tunaenda kanisani kusali kwahiyo kuna wakati tutawasusia na huo waraka wenu kila mkitaka kuusoma tutatoka nje au tunachelewa Misa.
tena kwa utulivuMaana Wameupeleka Ambako Gazeti Halifiki
Hata Lifkifika Waumini Hawana Uwezo Wa Kununua, Sasa Catholic Wanawasomea Bure
Wawapelekee na bakwata wausome misikitini.Popote walipo TEC chukueni ushauri huu!
Waraka uendelee kusomwa kila wiki baada ya misa hadi disemba!
Wiki hii serikali waliandaa kila aina ya vigisu na spinning kwa kumtumia Mzee Kikwete na majukwaa, matamasha na maelekezo kwa waandishi ili kukava story zao katika kufumba habari ya waraka.
Nashauri waraka uendelee kusomwa hadi pale serikali itakapojibu au kusitisha mkataba huo hata kwa hasara ndogo iliyopo sasa!
Unakaaje kimya huku unabakwa??Sometimes busara ni kukaa kimya
Asante Mungu kwa kuendelea kutuweka pamoja japo kuna wajinga walitaka kutugawaWawapelekee na bakwata wausome misikitini.
Uchungu gani wanaoUnaweza sema wapo na uchungu na rasilimali za nchi kumbe kuna namna maslahi yao yatabanwa.
Nawashauri waubandike hadi kwenye nguzo za umeme.