Muhumba wa Mukinyaa
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 683
- 1,251
Hata pale Kampala,M7 alishawahi OKOA jahazi,baada ya JIWE kubananishwa na waandishi wa habari..Jiwe na msafara wake walituaibisha Zimbabwe mpaka wakapata msaada toka kwa rais wao ambaye aliwahi kuishi hapa.
Ni ujinga kukifanya kiingereza kuwa bidhaa badala ya lugha ya kawaida. Mwingereza hakuwahi kutuuzia lugha yake ya kiingereza, aliitoa bure ili aweze kufanya biashara nasi, China imetajirika baada ya kuachana na kichina tu na kutumia lugha zingine.Hata pale Kampala,M7 alishawahi OKOA jahazi,baada ya JIWE kubananishwa na waandishi wa habari..
Nilichofanya,wanangu sehemu kubwa ya maisha yao,wanaongea hicho kinachoitwa KIDHUNGU
Kweli kabisaWasomi wengi hawawezi kuongea Kiingereza kwa unyoofu na kwa kujiamini.
Kuna msomi mmoja ilibidi nimuandikie barua ya kazi maana alikuwa anaenda kuabika kwa madudu aliyoandika. Ajabu ana 1.6 ya HGL na UpperSecond ya Sociology.
Naamini kama huwezi kujieleza kwa unyoofu na kwa lugha nyepesi kile unachokielewa basi wewe hukielewi na kama ulijifunza kwa Kiingereza tunataka ukieleze kwa uzuri kwa lugha hiyo.
Moja ya majuto yangu katika elimu ya juu, nikutojipa muda wa kutosha kujiendeleza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha. Niliashumu najua.
Nini maoni yako?
kujua kiingereza sio ishara ya usomi, kuna wahuni wengi wanaongea hicho kiingereza chako lakini hawana chochote wanajua.Wasomi wengi hawawezi kuongea Kiingereza kwa unyoofu na kwa kujiamini.
Kuna msomi mmoja ilibidi nimuandikie barua ya kazi maana alikuwa anaenda kuabika kwa madudu aliyoandika. Ajabu ana 1.6 ya HGL na UpperSecond ya Sociology.
Naamini kama huwezi kujieleza kwa unyoofu na kwa lugha nyepesi kile unachokielewa basi wewe hukielewi na kama ulijifunza kwa Kiingereza tunataka ukieleze kwa uzuri kwa lugha hiyo.
Moja ya majuto yangu katika elimu ya juu, nikutojipa muda wa kutosha kujiendeleza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha. Niliashumu najua.
Nini maoni yako?
Upo sahihi,,Ila utakuwaje na degree inayofundishwa kwa Kiingereza wakati hujui/huelewi Kiingerezakujua kiingereza sio ishara ya usomi, kuna wahuni wengi wanaongea hicho kiingereza chako lakini hawana chochote wanajua.
Kama umesoma Tanzania hii utakuwa unafahamu kabisa namna tunavyofundishwa, notice zipo kwa kiingereza, ila baada ya kusomwa zinalezewa kwa kiswahili, assignment zipo kwa kiingereza ila tunazi_discus kwa kiswahili, kwenye mtihani kabla sijajibu swali nalisoma kwa kiingereza, nitalitafakari kwa kiswahili, then nitalijibu kwa kiingereza. Tukienda field hakuna kiingereza huko ni kiswahili tuu. Hata nikikumbuka kuanzia primary school somo la kiingereza linafundishwa kwa kiswahili sasa hapo utajifunza kingereza gani??. Kwa uhalisia ndio maana viingereza tulivyo navyo ni vya kuunga unga.Upo sahihi,,Ila utakuwaje na degree inayofundishwa kwa Kiingereza wakati hujui/huelewi Kiingereza
Hahahaha. Digrii zenyewe za Tz sasa vituko!
Huwa ninashangaa sana mtu aliyepata elimu yake kwa lugha ya kiingereza, ashindwe kuielezea elimu hiyo kwa lugha aliyojifunzia.Wasomi wengi hawawezi kuongea Kiingereza kwa unyoofu na kwa kujiamini.
Kuna msomi mmoja ilibidi nimuandikie barua ya kazi maana alikuwa anaenda kuabika kwa madudu aliyoandika. Ajabu ana 1.6 ya HGL na UpperSecond ya Sociology.
Naamini kama huwezi kujieleza kwa unyoofu na kwa lugha nyepesi kile unachokielewa basi wewe hukielewi na kama ulijifunza kwa Kiingereza tunataka ukieleze kwa uzuri kwa lugha hiyo.
Moja ya majuto yangu katika elimu ya juu, nikutojipa muda wa kutosha kujiendeleza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha. Niliashumu najua.
Nini maoni yako?
Kama hayo mambo umefundishwa kwa kiingereza, unayaelewa vipi hayo mambo halafu lugha iliyotumika usiielewe?Kiingereza ni lugha na si kipimo cha kuelewa mambo.
Kwa mtizamo wako.ila mimi nilichoandika ndicho nilichomaanisha.Mbona umeandika Viseversa
Sasa Mkuu unaelewa mada kweli, sisi tunazungumzia watanzania hasa Graduates ambao kiingereza kwao ni lugha ya pili wanaijua kwa kujifunza ndio maana nikasema umesema Vise Versa maana kwa uwelewa wangu wanajua kiingereza cha kuandika zaidi kuliko kuongea kama utapima asilimia basi kusoma na kuandika 60% ila kuongea only 40%.Kwa mtizamo wako.ila mimi nilichoandika ndicho nilichomaanisha.
Usilolijua ni kuwa kiingereza ni lugha kama kilugha cha kwenu.
ukizaliwa sehemu automatically utaongea lugha inayoongelewa sehemu ile.
Ukienda shule,watakufundisha kuandika unachoongea.Usipoenda shule unaishia kujua kuongea
ila huwezi andika.
Then atahudumia vipi wateja wanaoongea lugha ya kiingereza, hili suala basi tu tunajitete ila kiingereza muhimu jubilation nilikuwa Dukani tu wateja wanaokuja wengi hawajui kiswahili ni kiingereza tu so hata kama nipo competent kwenye kujua Products ila inabidi wateja niwalezee kwa kiingereza mpaka anunueKuna mtu alienda kwenye interview akashindwa kujibu maswali kwa English akamuambia muajiri mm niko compitent kwenye kazi ila shughuli ni hii lugha, naomba mtu wa kunitafsiria mm nitaongea Kiswahili ili na ww uelewe maana muajiri alikua muhindi
Hii pia ni ushahidi kuwa hiyo degree au PHD umeipata kimakosa na hutakiwi kutiliwa maanani.Upo sahihi,,Ila utakuwaje na degree inayofundishwa kwa Kiingereza wakati hujui/huelewi Kiingereza
Naunga mkono hoja.Wasomi wengi hawawezi kuongea Kiingereza kwa unyoofu na kwa kujiamini.
Kuna msomi mmoja ilibidi nimuandikie barua ya kazi maana alikuwa anaenda kuabika kwa madudu aliyoandika. Ajabu ana 1.6 ya HGL na UpperSecond ya Sociology.
Naamini kama huwezi kujieleza kwa unyoofu na kwa lugha nyepesi kile unachokielewa basi wewe hukielewi na kama ulijifunza kwa Kiingereza tunataka ukieleze kwa uzuri kwa lugha hiyo.
Moja ya majuto yangu katika elimu ya juu, nikutojipa muda wa kutosha kujiendeleza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha. Niliashumu najua.
Nini maoni yako?
Ni sahihi kisailiwa kwa Kiingereza kwa sababu hiyo ndiyo ilikuwa lugha yake ya mawasiliano kuanzia Sekondari.kwanini kisitumike kiswahili kwenye interview na iko kingereza kitume kwnye organization za kimataifa huko..
mtu anaenda kuajiliwa almashauri ambapo asilimia 90 atatumia kiswahili kwenye utendaji kazi wake ila interview inalazimishwa kufanywa kwa kiingereza tena kwnye nchi ambayo kiingereza sio mother tongue kama tumerogwa yaani.!
Uko sahihi kwa asilimia 99.9Elimu ya primary lugha iwe English. Samaki mkunje angali mbichi