Nashauri: Kuongea Kiingereza kwa unyoofu (fluency) ibaki kuwa kigezo cha kumpima Mtanzania mwenye Degree

Kiswahili ni kigumu mno. Kama huamini, iseti simu yako kwa lugha ya Kiswahili kama hutashindwa kuelewa baadhi ya maelekezo yake, labda kama umebobea kwenye lugha ya Kiswahili.

Nimeona mtandaoni, Kiswahili ni ya tisa kwa uwepesi wa kujifunza.

Anauejifunza Kifaransa au Kiitaliano au Kiospaniola anaweza akakielewa haraka zaidi kuliko anayejifunza Kiswahili.
 
Kwakweli mkoloni alikosea sana kutuacha tujitawale....ngozi nyeusi ni ngozi nyeusi tu.

nyambaaafu!
 
Unajua sababu kuu ya Singapore kutumia kiingereza na kuacha mandarin, malay na tamil ?
 
Kutojua kuongea na kuandika kiingereza vizuri hasa kwa Graduate ni aina mojawapo ya ulemavu. Hakuna uhalali wowote wa mtu kuwa na shahada ya chuo kikuu halafu kiingereza hujui. Ni upuuzi
 
Kiingereza kama hukiongei mara kwa mara au husomi haduthi, magazeti,habari au majarida ya kiingereza lazima kikushinde kuongea.
 
Sio kila maamuzi ya kipuuzi unaweza chukua kwa sababu tu wewe ni dikteta utaua watu hovyo hovyo kama kichaa
 
Kwanini tunapenda shobo kwa lugha ya mkoloni? MAmbo mengi Ovyo kabisa, ni vizuri kujua lugha za kigeni lakini sio lazima.
 
Kwanini tunapenda shobo kwa lugha ya mkoloni? MAmbo mengi Ovyo kabisa, ni vizuri kujua lugha za kigeni lakini sio lazima.
Si lazima kama huna mpango wa kwenda kwao. Vinginevyo uwe na mkalimani, kitu ambacho ni gharama zaidi kuliko gharama ya kujifunza.
 
Kuna faida gani sasa kwenye hizo shule ?

Hautakua siriaz mkuu

mimi st kayumba tabu ninayopata sasa iv bas tu ningekua hangouts na mtu wa maana ama ningekua kwa wenzetu kwanza sijiamin
 
Hautakua siriaz mkuu

mimi st kayumba tabu ninayopata sasa iv bas tu ningekua hangouts na mtu wa maana ama ningekua kwa wenzetu kwanza sijiamin
Ubaya ni kwamba hufahamu unachoongea.

Umejenga fikra fulani kuhusu hizo shule zilivyo wakati sivyo.
 
Uko sahihi ila pia huko sahihi

Uko sahihi kwakua language acquisition skill inahitaji intelligence

Hauko sahihi kwakua kuna multiple intelligence, mtu aweka kua vibaya kwenye language akawa mzuri kwenye logic ( mathematics)
Huyo ana shahada ya socialogy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…