Nashauri ligi ya NBC iondolewe kwenye kampuni za betting

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Marefa wanabet, Wachezaji wanabet, Viongozi wa timu wanabet, mashabiki wanabet.

Ligi inaelekea kukosa mvuto. Magoli yanafungwa marahisi, waamuzi wana makosa ya wazi, mabeki na makipa ni kama wana maelekezo.

Cheki mechi kama ya jana ya Yanga, utagundua makosa mengi kuanzia kwa marefa, kipa mpaka beki. Pacome alikuwa offside wakati anataka kufunga goli kabla ya yule beki kujifunga kimasihara.

Mechi ya juzi ya Simba, refa aliwanyima Singida waziwazi kona.

Mechi ya Simba na JKT yule beki kama hakuwa amebet basi tuseme ni nini? Kwanini amdake Kapombe dakika za lala salama vile?

Suluhu pekee ni kuiondoa ligi ya bongo kwenye kampuni zote za betting.
 
Wasipozifuta na wewe ubeti mkuu. Unaweka hata laki tano kila mechi.
 
Bora tu waifungie Yanga kushiriki maana inakera sasa inachezaje mpira kama vile ipo Laliga..
Pacome anapiga chenga watoto wa watanzania kama hana utu .. Mzize naye Kila siku anazidi kua Bora..
Mdathiri anapiga visigino Dube anafunga refa anakataa goli na wanayanga hata hawajali hii si dharau? [emoji19]
Hadi wachezaji wa Simba wameanza kudharau wachezaji wenzao na kuwataja wa Yanga kua n Bora.. hii sio sawa
 
Kama Hii nchi ingekuwa fair na serious sana bila kuziogopa Simba na Yanga basi Simba na Yanga hasa Yanga wangekuwa wamepata rungu kama lile la JUVENTUS Miaka ya Mwanzo ya 2000 kushushwa daraja Kwa tuhuma za kupanga Matokeo .... Ni rahisi sana ukajua tu kuwa Kesho YANGA anavyocheza Matokeo yatakuwa Hivi Ili aweze capitalize idadu ya magoli ya anayeshindana Naye .... TAKUKURU WAINGIE KWENYE TIMU KUBWA HIZI NA WAWEKE MITEGO YAO other wise tutakuwa tunajitekenya wenyewe.
 
Marefa wanabet, Wachezaji wanabet, Viongozi wa timu wanabet, mashabiki wanabet.

Ligi inaelekea kukosa mvuto. Magoli yanafungwa marahisi, waamuzi wana makosa ya wazi, mabeki na makipa ni kama wana maelekezo.

Cheki mechi kama ya jana ya Yanga, utagundua makosa mengi kuanzia kwa marefa, kipa mpaka beki. Pacome alikuwa offside wakati anataka kufunga goli kabla ya yule beki kujifunga kimasihara.

Mechi ya juzi ya Simba, refa aliwanyima Singida waziwazi kona.

Mechi ya Simba na JKT yule beki kama hakuwa amebet basi tuseme ni nini? Kwanini amdake Kapombe dakika za lala salama vile?

Suluhu pekee ni kuiondoa ligi ya bongo kwenye kampuni zote za betting.
Vipi, Utakuwa tayari kujazia mapengo yote ya kodi yatakayoachwa na hayo makampuni ya kubet baada ya kuondolewa? Au utakuwa tayari kuzidhamini timu zote zenye mikataba na hayo makampuni ya kubet? Mfano Simba~Mbet, Yanga~Sportpesa, nk!!!
 
Marefa je, nao wanabeti?
 
Unadhani Simba hawataki ubingwa? Kungekuwa na ushahidi wa hili la upangaji wa matokeo ungeona wanapelekeka ili Yanga ipokonywe point. Ukiona hivyo ni maneno tu ya vijiweni. Kama wewe unao ushahidi wa hiyo tuhuma nenda ukapeleke sio unabwabwaja tu hapa
 
Kabla ya kuchukua hatua ni vizuri kupata ushahidi ili kuondoa sintofahamu hii.
 
Bora tu waifungie Yanga kushiriki maana inakera sasa inachezaje mpira kama vile ipo Laliga..
Pacome anapiga chenga watoto wa watanzania kama hana utu .. Mzize naye Kila siku anazidi kua Bora..
Mdathiri anapiga visigino Dube anafunga refa anakataa goli na wanayanga hata hawajali hii si dharau? [emoji19]
Hadi wachezaji wa Simba wameanza kudharau wachezaji wenzao na kuwataja wa Yanga kua n Bora.. hii sio sawa
 
Marefa wanabet, Wachezaji wanabet, Viongozi wa timu wanabet, mashabiki wanabet.

Ligi inaelekea kukosa mvuto. Magoli yanafungwa marahisi, waamuzi wana makosa ya wazi, mabeki na makipa ni kama wana maelekezo.

Cheki mechi kama ya jana ya Yanga, utagundua makosa mengi kuanzia kwa marefa, kipa mpaka beki. Pacome alikuwa offside wakati anataka kufunga goli kabla ya yule beki kujifunga kimasihara.

Mechi ya juzi ya Simba, refa aliwanyima Singida waziwazi kona.

Mechi ya Simba na JKT yule beki kama hakuwa amebet basi tuseme ni nini? Kwanini amdake Kapombe dakika za lala salama vile?

Suluhu pekee ni kuiondoa ligi ya bongo kwenye kampuni zote za betting.
Aisee!
 
Vipi, Utakuwa tayari kujazia mapengo yote ya kodi yatakayoachwa na hayo makampuni ya kubet baada ya kuondolewa? Au utakuwa tayari kuzidhamini timu zote zenye mikataba na hayo makampuni ya kubet? Mfano Simba~Mbet, Yanga~Sportpesa, nk!!!
Anaongea kama amekatwa kichwa
 
Marefa wanabet, Wachezaji wanabet, Viongozi wa timu wanabet, mashabiki wanabet.

Ligi inaelekea kukosa mvuto. Magoli yanafungwa marahisi, waamuzi wana makosa ya wazi, mabeki na makipa ni kama wana maelekezo.

Cheki mechi kama ya jana ya Yanga, utagundua makosa mengi kuanzia kwa marefa, kipa mpaka beki. Pacome alikuwa offside wakati anataka kufunga goli kabla ya yule beki kujifunga kimasihara.

Mechi ya juzi ya Simba, refa aliwanyima Singida waziwazi kona.

Mechi ya Simba na JKT yule beki kama hakuwa amebet basi tuseme ni nini? Kwanini amdake Kapombe dakika za lala salama vile?

Suluhu pekee ni kuiondoa ligi ya bongo kwenye kampuni zote za betting.
Leo nimeamini
 
Nadhani nilikua mbele ya muda
 
Back
Top Bottom