Nashauri Mafao ya Ndugai na mali zake zigawanywe nusu kwa nusu kwa wake zake, ili kuondoa mvurugano unaoweza kujitokeza

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,465
Reaction score
7,764
Ni kweli Job Ndugai alimuonesha mke wa pili Kama Mke wake .

Ila hiyo haiondoi Ukweli kuwa Ndugai alikuwa na wanawake wawili.

Na mahausiano yao yalikuwa vizuri .

Hivyo naomba Serikali na wadau wa sheria tuhakikishe huyu Mama mke wa kwanza wa Ndugai anapata mafao , na haki zote muhimu Kama Ulinzi, Bima nzuri ya Afya , Mafao n.k
 
Unajisikiaje kuwa mpumbavu hivyo?
 
Ni kweli Job Ndugai alimuonesha mke wa pili Kama Mke wake .

Ila hiyo haiondoi Ukweli kuwa Ndugai alikuwa na wanawake wawili.

Na mahausiano yao yalikuwa vizuri .

Hivyo naomba Serikali na wadau wa sheria tuhakikishe huyu Mama mke wa kwanza wa Ndugai anapata mafao , na haki zote muhimu Kama Ulinzi, Bima nzuri ya Afya , Mafao n.k
Huu ujinga kamweleze evangelical !
 
Lazima vurugu itokee, sidhani kama bi fatma atakubali mali zigawanywe sawa
Kwa ninavyomfahamu huyo Dada ana malezi ambayo si haba mpaka akatangazwa mke na marehemu mumewe. She is a humble lady, very wise polite and intelligent. Kila mtu mume angependa awe mkewe the way she conduct herself
 
Ni kweli Job Ndugai alimuonesha mke wa pili Kama Mke wake .

Ila hiyo haiondoi Ukweli kuwa Ndugai alikuwa na wanawake wawili.

Na mahausiano yao yalikuwa vizuri .

Hivyo naomba Serikali na wadau wa sheria tuhakikishe huyu Mama mke wa kwanza wa Ndugai anapata mafao , na haki zote muhimu Kama Ulinzi, Bima nzuri ya Afya , Mafao n.k
Kwangu mimi bora mke mkubwa ambaye naamini ndiye mke halali wa ndoa angepewa heshima yake msibani pia. Hayo ya mali sidhani kama ni mgogoro maana yanaenda kisheria zaidi.
 
Ni kweli Job Ndugai alimuonesha mke wa pili Kama Mke wake .

Ila hiyo haiondoi Ukweli kuwa Ndugai alikuwa na wanawake wawili.

Na mahausiano yao yalikuwa vizuri .

Hivyo naomba Serikali na wadau wa sheria tuhakikishe huyu Mama mke wa kwanza wa Ndugai anapata mafao , na haki zote muhimu Kama Ulinzi, Bima nzuri ya Afya , Mafao n.k
Mali zirudishwe serikalini maana nyingi ni za wizi tupu
 
1. Hivi wewe ndio mke mkubwa wa Ndugai?
2. Unajuaje kama huyo unaemwita mke mkubwa alikuwa mke wa ndoa?

Wengi wanamfahamu Fatma sio kwa bahati mbaya, bali ni kwa kutambulishwa na mwenyewe Ndugai. Hivyo ili hoja yako iwe na mashiko unatakiwa uweke kithibitisho chochote kinachoonesha au kuthibitisha kuwa Ndugai alikuwa na mke mungine.
 
Back
Top Bottom