Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Yupo Arusha ni mchaga kapigwa beat haswa na haya majangili ya mali za umma, vinginevyo angekuwa ametekwa chapSijui wala.. Nimeona threads kadhaa tu kuwa hakuwepo.

Mbona upo mbio sana kwenye mambo ya watu. Una juaje kama Ndugai hajawapa kila moja mali zake. Na unajua juaje kama labda Ndugai hana mali isipokuwa kampuni. Kama ni Kampuni kila moja atakula kulingana na hisa zake ndani ya kampuni.Ni kweli Job Ndugai alimuonesha mke wa pili Kama Mke wake .
Ila hiyo haiondoi Ukweli kuwa Ndugai alikuwa na wanawake wawili.
Na mahausiano yao yalikuwa vizuri .
Hivyo naomba Serikali na wadau wa sheria tuhakikishe huyu Mama mke wa kwanza wa Ndugai anapata mafao , na haki zote muhimu Kama Ulinzi, Bima nzuri ya Afya , Mafao n.k
Kwamba alioa gizani? kwanini nyie UWT hamnaga akili kabisa? Watu hawakuona wakati wanaishi pamoja?1. Hivi wewe ndio mke mkubwa wa Ndugai?
2. Unajuaje kama huyo unaemwita mke mkubwa alikuwa mke wa ndoa?
Wengi wanamfahamu Fatma sio kwa bahati mbaya, bali ni kwa kutambulishwa na mwenyewe Ndugai. Hivyo ili hoja yako iwe na mashiko unatakiwa uweke kithibitisho chochote kinachoonesha au kuthibitisha kuwa Ndugai alikuwa na mke mungine.
Unatetea usawa katika uchakavu wa magodoro mkuu?Ni kweli Job Ndugai alimuonesha mke wa pili Kama Mke wake .
Ila hiyo haiondoi Ukweli kuwa Ndugai alikuwa na wanawake wawili.
Na mahausiano yao yalikuwa vizuri .
Hivyo naomba Serikali na wadau wa sheria tuhakikishe huyu Mama mke wa kwanza wa Ndugai anapata mafao , na haki zote muhimu Kama Ulinzi, Bima nzuri ya Afya , Mafao n.k
Usimtaje kwa jina watamuua mkuuMrithi ni Stella Mmasy wasithubutu kumnyima haki yake
Ni Mke wake. Mbona mnajifanya mafundi kwenye mambo ya familia za watu. Kwa Ndugai kitu gani kilikuwa kinamzuia kuwa na wake zaidi ya moja.Mrithi ni mke halali , huyo Dr Fatma Mganga alikuwa hawara sio mke wake kwa hiyo hawezi kurithi mali za ndugai
Wamekulalamikia na kukwambia kuwa Wana mgogoro?Ni kweli Job Ndugai alimuonesha mke wa pili Kama Mke wake .
Ila hiyo haiondoi Ukweli kuwa Ndugai alikuwa na wanawake wawili.
Na mahausiano yao yalikuwa vizuri .
Hivyo naomba Serikali na wadau wa sheria tuhakikishe huyu Mama mke wa kwanza wa Ndugai anapata mafao , na haki zote muhimu Kama Ulinzi, Bima nzuri ya Afya , Mafao n.k
Ahaaa kwanini mkuu?Usimtaje kwa jina watamuua mkuu
CCM unawajua? watamteka hawataki ajulikane ndiyo maana hata kwenye msiba hayupo wameenda watoto wakeAhaaa kwanini mkuu?
Usipende lugha za maudhi. Kwani wewe ndiye mke mdogo wa Job (Fatuma ????), weka uthibitisho wa ndoa yako na marehemu. Hoja ni busara ingetumika wote waliofiwa kuwepo msibani. Mazingira ya kiafrica yanajulikana. Ubabe, ukoroti, chuki zinaharibu badala ya. Kumaliza tatizo.1. Hivi wewe ndio mke mkubwa wa Ndugai?
2. Unajuaje kama huyo unaemwita mke mkubwa alikuwa mke wa ndoa?
Wengi wanamfahamu Fatma sio kwa bahati mbaya, bali ni kwa kutambulishwa na mwenyewe Ndugai. Hivyo ili hoja yako iwe na mashiko unatakiwa uweke kithibitisho chochote kinachoonesha au kuthibitisha kuwa Ndugai alikuwa na mke mungine.
Nafikiri haunifahamu vizuri humu JF.Kwamba alioa gizani? kwanini nyie UWT hamnaga akili kabisa? Watu hawakuona wakati wanaishi pamoja?
hivi ndugai alikuwa mkristo au mwislamu? maana wakristo haturuhusiwi kuwa na wake zaidi ya mmoja. au mke wa kwanza alipeana taraka?.kama walipeana taraka ,hapo huyo anayeitwa mke wa kwanza hana chakeNi kweli Job Ndugai alimuonesha mke wa pili Kama Mke wake .
Ila hiyo haiondoi Ukweli kuwa Ndugai alikuwa na wanawake wawili.
Na mahausiano yao yalikuwa vizuri .
Hivyo naomba Serikali na wadau wa sheria tuhakikishe huyu Mama mke wa kwanza wa Ndugai anapata mafao , na haki zote muhimu Kama Ulinzi, Bima nzuri ya Afya , Mafao n.k
Mwenyewe alimtambulisha kama mkewe,akamuandika hivyo serikalini,msibani ametambulika hivyo,wewe nani unaedai si mkewe halali?..huo uhalali unatoka wapi?Mrithi ni mke halali , huyo Dr Fatma Mganga alikuwa hawara sio mke wake kwa hiyo hawezi kurithi mali za ndugai
Unajuaje?.pengine mleta uzi ndiyo Bi Fatuma anatoa maoni yake.Mmekuwa wasemaji wa Familia ya marehemu "ghafla" bin vuuuuuuu..
Kwani tunahusika tena kutoa bima, ulinzi etc? Si mume wao amewaachia. Tuoneeni huruma watanzaniaNi kweli Job Ndugai alimuonesha mke wa pili Kama Mke wake .
Ila hiyo haiondoi Ukweli kuwa Ndugai alikuwa na wanawake wawili.
Na mahausiano yao yalikuwa vizuri .
Hivyo naomba Serikali na wadau wa sheria tuhakikishe huyu Mama mke wa kwanza wa Ndugai anapata mafao , na haki zote muhimu Kama Ulinzi, Bima nzuri ya Afya , Mafao n.k
Ukijibiwa uni tagKwani kuna Hitilafu kati yao?? au umehisi tu?
Mrithi ni stella mmasy...mkuu nilikua najaribu kurudia sentensi yako nione ikiwa majina yataanza na herufi kubwa kama ilivyotokea kwako na kwa johnthebabtist..lakini mmasy limekataaMrithi ni Stella Mmasy wasithubutu kumnyima haki yake
Asante! Wanasheria tupo tunalifuatiliaNi kweli Job Ndugai alimuonesha mke wa pili Kama Mke wake .
Ila hiyo haiondoi Ukweli kuwa Ndugai alikuwa na wanawake wawili.
Na mahausiano yao yalikuwa vizuri .
Hivyo naomba Serikali na wadau wa sheria tuhakikishe huyu Mama mke wa kwanza wa Ndugai anapata mafao , na haki zote muhimu Kama Ulinzi, Bima nzuri ya Afya , Mafao n.k
Utambulisho alioutoa Ndugai Bungeni hauondoi uhalali wa mke mwingine kuwepo. Ni coincidence tuu kwamba siku hiyo bungeni alikuwepo Fatma hivyo akatambulishwa na wala hatukumsikia Ndugai akisema huyo ni mke pekee.1. Hivi wewe ndio mke mkubwa wa Ndugai?