Nashauri Mafao ya Ndugai na mali zake zigawanywe nusu kwa nusu kwa wake zake, ili kuondoa mvurugano unaoweza kujitokeza

Nashauri Mafao ya Ndugai na mali zake zigawanywe nusu kwa nusu kwa wake zake, ili kuondoa mvurugano unaoweza kujitokeza

Mi naona wanunuliwe mapanga wapigane watakao wamaliza wenzao wachukue mali maana dingi alijifanya mkristo safi kumbe anafata Sunna ya kuoa mathna kimya kimya
 
Nafikiri haunifahamu vizuri humu JF.
Mimi sio CCM na sijawahi hata kufikiria kuwa CCM. Mambo ya siasa na vyama nimewaachia nyinyi Umoja wa kina mama bawacha na wanaume zenu.

Kingine mimi sio mtu wa kufuata upepo mitandaoni, au kuokota story za kwenye vyama na vijiwe vya kahawa na kuleta JF bila kufanyia upembuzi wa kina kuujua ukweli. Ndomaana nimemwambia mleta mada alete vithibitisho vya ndoa ili kuifanya mada yake iaminiwe na watu ambao huwa hatukimbilii kuamini story za kinamama kama wewe.

So inashangaza badala ya kuweza vithibitisho unakimbilia kuweka maneno ya kike kike yasiokuwa na msingi. Leta cheti cha ndoa au angalau picha ya harusi wakiwa na Ndugai. Mana kama taifa hatupo tayari kuhudumia mke na kimada kwa pamoja kupitia kodi zetu.

Lakini pia yoyote kati ya Fatma au huyo mungine akiwa mke wa Ndugai hainiongezei wala kunipunguzia chochote maana atakaefaidika na urithi wa Ndugai na yeye na watoto wake. Sina muda wa kutumia misiba kama kichaka cha siasa.
Nani hakujui iwewe dada angu? kaa kwa password
 
Mmekuwa wasemaji wa Familia ya marehemu "ghafla" bin vuuuuuuu..
Unalolisema ni kweli swala la familia linapaswa kushughulikiwa na familia.kinatakiwa kikao cha familia kikae na wanufaika wa urithi watambulike kiasi cha kila mmoja.Tatizo linakuja hasa kwenye percentage zxa ugawaji kwani kuna baadhi ya mali ni za familia zote ila kunabaadhi ya mali nguvu ya mke na mume sasa hapo kwenye kuzitofautisha ni kazi na nyingine ni za mke binafsi wa pande zote mbili.
 
Ni kweli Job Ndugai alimuonesha mke wa pili Kama Mke wake .

Ila hiyo haiondoi Ukweli kuwa Ndugai alikuwa na wanawake wawili.

Na mahausiano yao yalikuwa vizuri .

Hivyo naomba Serikali na wadau wa sheria tuhakikishe huyu Mama mke wa kwanza wa Ndugai anapata mafao , na haki zote muhimu Kama Ulinzi, Bima nzuri ya Afya , Mafao n.k
Mafao ya Spika aliyejiuzulu yanapatikana kwa Sheria zipi?
 
Ni kweli Job Ndugai alimuonesha mke wa pili Kama Mke wake .

Ila hiyo haiondoi Ukweli kuwa Ndugai alikuwa na wanawake wawili.

Na mahausiano yao yalikuwa vizuri .

Hivyo naomba Serikali na wadau wa sheria tuhakikishe huyu Mama mke wa kwanza wa Ndugai anapata mafao , na haki zote muhimu Kama Ulinzi, Bima nzuri ya Afya , Mafao n.k
Komaa ba maisha yako dogo
 
Back
Top Bottom