Nashauri magari yote ya Serikali na Taasisi za Umma yapakwe rangi za nembo zao kupunguza ukiritimba

Ni rahisi sana kuiba kwasababu yamekaa kama magari binafsi!
 
Hivi serikali hawaoni umhimu wa kuyapaka rangi magari ya serikali!
Hizi plate namba zinatumika vibaya sana kusafilishia mirungi na mambo mrngine mengi
 
n kwel hii imekaa poa au yawe meupe kama yalivo saiv ila mikanda ya kati ndo iwekwe tofaut tofauti
 
n kwel hii imekaa poa au yawe meupe kama yalivo saiv ila mikanda ya kati ndo iwekwe tofaut tofauti
Viongozi wangetekeleza hili mapema hizi mambo za watu kutumia magar ya taasis kiharamia zingeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…