- Thread starter
- #141
Huko arusha DC kakamata mafuta ya wizi kutoka magari ya ummaWazo zuri sana
Maana wengine wanazitumia kubebea
Madem zao tu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko arusha DC kakamata mafuta ya wizi kutoka magari ya ummaWazo zuri sana
Maana wengine wanazitumia kubebea
Madem zao tu
Ova
Huko arusha wamedakwa wakiiba mafuta kwenye magari ya serkaliAcha roho mbaya, na tutaendelea kuopoa mke wako.
DuhHuko arusha wamedakwa wakiiba mafuta kwenye magari ya serkali
Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yakeHuko arusha wamedakwa wakiiba mafuta kwenye magari ya serkali
Ni mzigo kwa style hiyoKila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake
Ova
n kwel hii imekaa poa au yawe meupe kama yalivo saiv ila mikanda ya kati ndo iwekwe tofaut tofautiUkiondoa magari ya IKULU na yale ya Viongozi wa kitaifa;
Naishauri ofisi ya waziri mkuu ikiongozwa na Mh Majaliwa Kassimu kwa kushirikiana na Tamisemi chini ya Bashungwa!
Waelekeze magari yote ya serikali yapakwe rangi ya nembo ya taasisi husika kama ilivyo kwa taasisi chache kama (Polisi,Tanesco, NHC, NSSF n.k)
Na hili lisiishie tu kupaka magari ya SITE na kuacha mashangingi au magari mengine ya mameneja na wakurugenzi pasipo kuwa na rangi za nembo zao!
Maelekezo ya ukamataji magari yasiyo kuwa na nembo wapewe trafiki ili waanze msako wa kukagua kadi za gari feki na dereva atakayekamatwa ahukumiwe kesi ya hujuma.
Hili litasaidia uwajibikaji ili wanainchi waone nani mharibifu wa Mali ya umma, nani anakimbia mbio za hatari barabarani, nani kaenda kulewa muda wa kazi, nani yuko gesti mida ya kazi, nani kabebea mbuzi wake kwenye shangingi la serikali! N.k
Watu wa masijala wahakikishe kila chombo cha moto cha serikali kiwe na rangi za nembo husika ili kuongeza uwajibikaji na kupunguza ukilitimba.
Hili litasaidia mambo kama haya!
1. Madereva wa serikali siku hizi wamebuni mbinu ya kuwa na namba za usajili feki (fake plate number) ambazo hubandika siku za weekend na kutumia gari jambo linalochangia uchakavu wa haraka na kuighalimu serikali kufanya matengenezo
2. Madereva wanapokuwa na hayo magari yasiyo na nembo (waliyoweka feki namba binafsi) ni rahisi sana kuuza au kubadilisha vipuli orijino kwenye gereji bubu na kuitia hasara serikali
3. Matumizi ya mafuta yako juu kwasababu magari yasiyo na nembo yanashawishi mizunguko isiyokuwa ya lazima
4. Magari yasiyo na nembo hayaoneshi uwajibikaji kwa wananchi (hili lipo kisaikolojia zaidi)
Nasema hivi kwasababu nimeshuhudia mashangingi kadhaa ya serikali STL au DFPA lakini wakifika mtaani wanabandika namba binafsi mfano DZA!
Kwahiyo mtu kama huyu akiuza kipuli gereji yoyote hakuna atakaye mshitukia!
Updates
View attachment 2268324
Viongozi wangetekeleza hili mapema hizi mambo za watu kutumia magar ya taasis kiharamia zingeishan kwel hii imekaa poa au yawe meupe kama yalivo saiv ila mikanda ya kati ndo iwekwe tofaut tofauti