Nashauri Makonda ahamishiwe Dodoma ili Makao Makuu yachangamke

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Heri ya mwaka mpya 2025.
Kwa muda mfupi tumeshuhudia jinsi RC Makonda alivyo waunganisha wa chuga na kufurahia maisha kwa pamoja. Wamepokea mwaka 2025 kwa shangwe kubwa.
Hakika Arusha kumechangamka kwa ubunifu wa RC Makonda.

Nashauri kama itafaa, RC Makonda ahamishiwe Makao Makuu Dodoma ili napo pachangamke maana pame powaaaaaaaaaa sana.
 
dawa ni kumtengeneza makonda mwingine
 
Mnapenda promo badala ya real work
Ukiwa mwanasiasa Tanzania, we piga sana promo kama vile wewe ndiye kiongozi wa marketing wa primetime promotions. Watanzania ndiyo tafsiri yao ya uchapakazi na ubunifu. Kila saa uwe kwenye media na harakati harakati fulani hivi. Ni rahisi sana kuwafurahisha Watanzania pasipo kufanya vitu vya maana sana.
 
Heri ya mwaka mpya 2025.
Kwa muda mfupi tumeshuhudia jinsi RC Makonda alivyo waunganisha wa chuga na kufurahia maisha kwa pamoja. Wamepokea mwaka 2025 kwa shangwe kubwa.
Hakika Arusha kumechangamka kwa ubunifu wa RC Makonda.

Nashauri kama itafaa, RC Makonda ahamishiwe Makao Makuu Dodoma ili napo pachangamke maana pame powaaaaaaaaaa sana.
Hapana aisee tulienaye anatutosha
 
Hatopata mawenge ya kuua mtu?
 
Abaki hapohapo,
Wa Dodoma siku ambazo kunatakiwa kuchangamka wanakuwa wamesharudi Dar! Dodoma ni km camp, u only stay while hunting.....
 
Heri ya mwaka mpya 2025.
Kwa muda mfupi tumeshuhudia jinsi RC Makonda alivyo waunganisha wa chuga na kufurahia maisha kwa pamoja. Wamepokea mwaka 2025 kwa shangwe kubwa.
Hakika Arusha kumechangamka kwa ubunifu wa RC Makonda.

Nashauri kama itafaa, RC Makonda ahamishiwe Makao Makuu Dodoma ili napo pachangamke maana pame powaaaaaaaaaa sana
Hata bunge litachangamka, maan yule buana haangalii wewe ni mbunge au waziri au nani, ukizingua utakiona ..... Kwa ufupi haogopi mtu!

Ila jamaa anafanya vitu vyake kimya kimya Tena kwa weledi!

Wana habari wanamfuata wenywe ili ziuzike habari zao!

Saizi Arusha inavuma kuliko Dar.... Ukimtoa Mwampisa Dar hamna lolote l maana... Yule mkuu wa Mkoa chapombe hatari! Hengohova zinaongea hatr!

Kwa ufupi Makonda anwapenda sn vijana wachapa kazi na sio wavivu!

Huyu buanaa endapo akija kuwa Rais wa nchi miaka ijayo wzee mjipange ataondoa na kuweka vijana!
Makonda hata akipelekwa Katavi nakwmbia Mkoa wa Katavi utavuma kuliko Dasalama!

Mheshimiwa Rais mlete Mbeya Makonda!
 
Mimi alinigusa sana na zile clinic za kusikiliza matatizo ya wananchi kwani wapo watu wengi sana wana nyanyasika kwa kunyang'anywa ardhi nk na wajanja kwa sababu, hawajui/hawana uwezo wakufuata taratibu za mahakama

Natamani mikoa/Wilaya zote ziwe na hata siku mbili kila mwanzo/mwisho wa mwezi za kupokea matatizo ya wananchi (moja kwa moja bila filter) na kuyapatia ufumbuzi au kuwasaidia wapate usaidizi..

Kimsingi Makonda anapenda watu wanaowajibika na kupata matokeo, sio longolongo nyiiiingi, matokeo hakuna
 
Heri ya mwaka mpya 2025.
Kwa muda mfupi tumeshuhudia jinsi RC Makonda alivyo waunganisha wa chuga na kufurahia maisha kwa pamoja. Wamepokea mwaka 2025 kwa shangwe kubwa.
Hakika Arusha kumechangamka kwa ubunifu wa RC Makonda.

Nashauri kama itafaa, RC Makonda ahamishiwe Makao Makuu Dodoma ili napo pachangamke maana pame powaaaaaaaaaa sana.
Tunakupima kwa hatua au vitu vinavyoonekana sio kwa sasa umenipata ....Arusha kaongeza kitu ganii??
 
Back
Top Bottom