dawa ni kumtengeneza makonda mwingineHeri ya mwaka mpya 2025.
Kwa muda mfupi tumeshuhudia jinsi RC Makonda alivyo waunganisha wa chuga na kufurahia maisha kwa pamoja. Wamepokea mwaka 2025 kwa shangwe kubwa.
Hakika Arusha kumechangamka kwa ubunifu wa RC Makonda.
Nashauri kama itafaa, RC Makonda ahamishiwe Makao Makuu Dodoma ili napo pachangamke maana pame powaaaaaaaaaa sana.
Ukiwa mwanasiasa Tanzania, we piga sana promo kama vile wewe ndiye kiongozi wa marketing wa primetime promotions. Watanzania ndiyo tafsiri yao ya uchapakazi na ubunifu. Kila saa uwe kwenye media na harakati harakati fulani hivi. Ni rahisi sana kuwafurahisha Watanzania pasipo kufanya vitu vya maana sana.Mnapenda promo badala ya real work
Hapana aisee tulienaye anatutoshaHeri ya mwaka mpya 2025.
Kwa muda mfupi tumeshuhudia jinsi RC Makonda alivyo waunganisha wa chuga na kufurahia maisha kwa pamoja. Wamepokea mwaka 2025 kwa shangwe kubwa.
Hakika Arusha kumechangamka kwa ubunifu wa RC Makonda.
Nashauri kama itafaa, RC Makonda ahamishiwe Makao Makuu Dodoma ili napo pachangamke maana pame powaaaaaaaaaa sana.
Ni yule mama msaniisanii?Hapana aisee tulienaye anatutosha
Kachukua nafasi ya primetime promotions. Tafsiri ya wabongo ya kuongozi mchapakazi ni ya kipekee dunia nzima.Sijawah kujua ni jambo gan la muhimu kafanya Zaid ya kuendesha matamasha kama wafanyavyo wasanii
Ndio majukumu ya mkuu wa mkoa hayo, ulinzi na usalama ,maafa na majanga. Mengine yana watendaji wake wa kiserikali.Sijawah kujua ni jambo gan la muhimu kafanya Zaid ya kuendesha matamasha kama wafanyavyo wasanii
Hatopata mawenge ya kuua mtu?Heri ya mwaka mpya 2025.
Kwa muda mfupi tumeshuhudia jinsi RC Makonda alivyo waunganisha wa chuga na kufurahia maisha kwa pamoja. Wamepokea mwaka 2025 kwa shangwe kubwa.
Hakika Arusha kumechangamka kwa ubunifu wa RC Makonda.
Nashauri kama itafaa, RC Makonda ahamishiwe Makao Makuu Dodoma ili napo pachangamke maana pame powaaaaaaaaaa sana.
Kazi ya wasanii itakuwa Nini kama Kila kitu mkuu wa mkoa anataka kuji outshineNdio majukumu ya mkuu wa mkoa hayo, ulinzi na usalama ,maafa na majanga. Mengine yana watendaji wake wa kiserikali.
Abaki hapohapo,Heri ya mwaka mpya 2025.
Kwa muda mfupi tumeshuhudia jinsi RC Makonda alivyo waunganisha wa chuga na kufurahia maisha kwa pamoja. Wamepokea mwaka 2025 kwa shangwe kubwa.
Hakika Arusha kumechangamka kwa ubunifu wa RC Makonda.
Nashauri kama itafaa, RC Makonda ahamishiwe Makao Makuu Dodoma ili napo pachangamke maana pame powaaaaaaaaaa sana.
Hata bunge litachangamka, maan yule buana haangalii wewe ni mbunge au waziri au nani, ukizingua utakiona ..... Kwa ufupi haogopi mtu!Heri ya mwaka mpya 2025.
Kwa muda mfupi tumeshuhudia jinsi RC Makonda alivyo waunganisha wa chuga na kufurahia maisha kwa pamoja. Wamepokea mwaka 2025 kwa shangwe kubwa.
Hakika Arusha kumechangamka kwa ubunifu wa RC Makonda.
Nashauri kama itafaa, RC Makonda ahamishiwe Makao Makuu Dodoma ili napo pachangamke maana pame powaaaaaaaaaa sana
Real work ni kama ipi ambayo hajaigusa?Mnapenda promo badala ya real work
Tunakupima kwa hatua au vitu vinavyoonekana sio kwa sasa umenipata ....Arusha kaongeza kitu ganii??Heri ya mwaka mpya 2025.