Nashauri Mawaziri, RC DC na DED wapelekwe Semina Elekezi kama enzi za JK. Fikiria wakati tunazungumzia Utekaji DC anadai Kuna Kitu alifanya Maporini!

Damu ya binadamu si sawa na ya mbuzi, huwezi kumwaga damu ya mtu halafu ubaki salama, haiwezekani nafsi lazima ikusumbue kwa kukutaka kutubu hadharani.

Huko ndo kuweweseka kwenyewe na baadae kidogo wataanza kutajana majina na watu waliowateka.
 
CCM wana presha ni kama vile sio wao waliopo madarakani, hizo kauli huwa zinatamkwa na watu wenye hofu ili kujifariji. Ona sasa mtu unaropoka mpaka ukweli na ni siri.
Haikupata kuandikwa katika Chuo cha Nabii ya kwamba; waovu hukimbia wasipofuatwa na mtu, bali wenye haki ni jasiri kama simba?
 
Chonde Chonde Waziri mkuu ni vema hawa Viongozi kuanzia Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya, Wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakafanyiwa Semina Elekezi

Hii itasaidia kuondoa kutolewa kauli kinzani na vioywetu pia hali ya Ukambale Ndani ya Serikali na hata Chama itaisha

Mlale Unono 😃

Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Watu bright hawahitaji seminar za michongo
 
Kabla ya kifikiria kutumbua Kodi, tujiulize:
  • Je wamepatikana kupitia mchakato gani?
  • Je hao wateule wanadhibitiwa na mamlaka gani inayojukikana? Kwa vigezo gani?
Kichwa maji ni kichwa maji tu, hata akipelekwa twisheni Stanford University
 
Chonde Chonde Waziri mkuu ni vema hawa Viongozi kuanzia Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya, Wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakafanyiwa Semina Elekezi

Hii itasaidia kuondoa kutolewa kauli kinzani na vioywetu pia hali ya Ukambale Ndani ya Serikali na hata Chama itaisha

Mlale Unono 😃

Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Hivi lengo lako la kutaka apate semina ni lipi!? Afiche wanachofanyaga!? Au agome kufanya wanavyofanyaga!?

Maana kwa maelezo niliyopewa na mdada mmoja alisimamia uchaguzi anasema kwenye semina elekezi waliambiwa na waseminishaji kwamba ukimpitisha mpinzani tutakung'oa korodani.
Kwa maneno ya huyu mwamba naona kumbe ndio michezo yao
 
Kumeshaanza kukuchaa, kutawakaaa tyuu.
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Pazia la Kati Kati la hekalu linapasuka pole pole!

Yaliyo sirini yanaanza kufichuka ni rasmi Mkono na nguvu za Mungu Toka mbingu ya Saba zinaenda kutawala nyika yetu!!
Sasa wazee wa kule chini deep wanaoamua kesho ya nyika yetu wanaenda kuumbuka!!!

Muulizeni mtoto pendwa alikua wapi Kwa zaidi ya siku 14!!?

Sasa yanaenda kufunuliwa!!
 
"Mnafahamu kilichotokea kwenye mapori na mimi nilihusika..."

1000012512.jpg
 
Damu xa watu haziend bure kuna siku mmoja ataropoka tu manake anapebda kuongea ongea kwenye tv atajichanganya tu
 
Chonde Chonde Waziri mkuu ni vema hawa Viongozi kuanzia Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya, Wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakafanyiwa Semina Elekezi

Hii itasaidia kuondoa kutolewa kauli kinzani na vioywetu pia hali ya Ukambale Ndani ya Serikali na hata Chama itaisha

Mlale Unono 😃

Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Hapana wasipelekwe hadi watoe siri zote kwanza
 
Huyu ni DC ni tafu sana mpaka kasema ukweli huu ndiyo utafu wenyewe.
Of course kwenye presentation yake kaweka wazi kabisa "haogopi kitu"; he is very tough!
 
Chonde Chonde Waziri mkuu ni vema hawa Viongozi kuanzia Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya, Wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakafanyiwa Semina Elekezi

Hii itasaidia kuondoa kutolewa kauli kinzani na vioywetu pia hali ya Ukambale Ndani ya Serikali na hata Chama itaisha

Mlale Unono 😃

Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Mbona huwa wanaenda kupigwa msasa pale Uongozi Institute.
Shida ni kuwa CCM na serikali yake imebeba watu wabaya,watu wabaya hawajawai kuwa wazuri isipokuwa kama wanatafuta wanachotaka ndiyo hujifanya wema!!
 
Back
Top Bottom