johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Haijulikani 🐼Polini alifanya nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijulikani 🐼Polini alifanya nini
Haikupata kuandikwa katika Chuo cha Nabii ya kwamba; waovu hukimbia wasipofuatwa na mtu, bali wenye haki ni jasiri kama simba?CCM wana presha ni kama vile sio wao waliopo madarakani, hizo kauli huwa zinatamkwa na watu wenye hofu ili kujifariji. Ona sasa mtu unaropoka mpaka ukweli na ni siri.
Watu bright hawahitaji seminar za michongoChonde Chonde Waziri mkuu ni vema hawa Viongozi kuanzia Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya, Wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakafanyiwa Semina Elekezi
Hii itasaidia kuondoa kutolewa kauli kinzani na vioywetu pia hali ya Ukambale Ndani ya Serikali na hata Chama itaisha
Mlale Unono 😃
Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Hivi lengo lako la kutaka apate semina ni lipi!? Afiche wanachofanyaga!? Au agome kufanya wanavyofanyaga!?Chonde Chonde Waziri mkuu ni vema hawa Viongozi kuanzia Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya, Wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakafanyiwa Semina Elekezi
Hii itasaidia kuondoa kutolewa kauli kinzani na vioywetu pia hali ya Ukambale Ndani ya Serikali na hata Chama itaisha
Mlale Unono 😃
Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Watu bright hawako Siasani ndio hao akina Dr Faustine Ndugulile 😃😃🔥Watu bright hawahitaji seminar za michongo
Ccm ni nani mwenye nafuu?Watu bright hawako Siasani ndio hao akina Dr Faustine Ndugulile 😃😃🔥
Tayari kaliwa Kichwa
Sure kaka damu za watu haziendagi bure bafo mwingine alikua mfunga kamba enz za JK atajichanganya tuDamu za watu waliowaua huko maporini zinaanza kuwatesa na bado wataropoka mengi sana.
Lini katumbuliwa, sijaona hilo.Nape na DC wa Longido aliyetumbuliwa ni wanaCCM wasema KWELI.
Hapana wasipelekwe hadi watoe siri zote kwanzaChonde Chonde Waziri mkuu ni vema hawa Viongozi kuanzia Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya, Wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakafanyiwa Semina Elekezi
Hii itasaidia kuondoa kutolewa kauli kinzani na vioywetu pia hali ya Ukambale Ndani ya Serikali na hata Chama itaisha
Mlale Unono 😃
Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
DC wa Longido katumbuliwa leo.Lini katumbuliwa, sijaona hilo.
Of course kwenye presentation yake kaweka wazi kabisa "haogopi kitu"; he is very tough!Huyu ni DC ni tafu sana mpaka kasema ukweli huu ndiyo utafu wenyewe.
Mbona huwa wanaenda kupigwa msasa pale Uongozi Institute.Chonde Chonde Waziri mkuu ni vema hawa Viongozi kuanzia Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya, Wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakafanyiwa Semina Elekezi