NB.Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe,mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote?
Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi?
Nimeamka serikali unataka kuwapa mikopo na hawa diploma,, hili nalo litakuwa kosa kubwa sana, yani kujibebesha mzigo juu ya mzigo ,,, cha muhimu hapo serikali wapige kimya tu na huko kwa ngazi ya degree wawafutie kabisa kama ikibidi labda wawape ada tu ,pesa ya kula wajitegemee.
hakuna kitu kama hichoUngejua msoto wanaopitia vijana wa diploma na certificate wanaotoka familia duni hata usingesema.
Wapo wanaoacha wengi kwa kukosa ada au wengine nauli.
Tena angalau vyo vya kati vinavyokua na mabweni kisha wanafunzi wanapewa chakula
mnataka tu mpewe pesa mshindane kuvaaNipo na washikaji hapa chuo nimewaonyesha utumbo wako, wamenishika mikono maana nilitaka nije nikupasue
kabla ya hapo uliwahi kusikia wakilalamika?Diploma za sayansi wanapewa mikopo
embu nitajie hizo gharama ambazo wenzao wa vyuo vya kati hawazipitiiAcha wivu shehe
Unaijua gharama ya Elimu ya juu?
Hasa kwenu kukiwa apeche alolo?
wawakopeshe wanafunzi pesa wakati hata dawa hospitalini hakuna, vifaa tiba hakuna, barabara mbovuHIyo serikali isipopoteza hela kuwakopesha wasoma diploma pesa hizo zitapotelea tu kwenye mifuko ya watu binafsi.
Ikiwezekana wanafunzi wakopeshe tangu primary schools pesa ipo
Hata wakiacha kukopesha wanafunzi hizo dawa hutazionawawakopeshe wanafunzi pesa wakati hata dawa hospitalini hakuna, vifaa tiba hakuna, barabara mbovu
Sasa hao Madaktarii utawatoa wapi?? Unajua gharama ya kumtengeneza daktari mmoja???wawakopeshe wanafunzi pesa wakati hata dawa hospitalini hakuna, vifaa tiba hakuna, barabara mbovu