Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Kheri huyo kafikiria kuinua kipato cha nyumbani kupitia pesa ya mkopoMimi nimesoma na jamaa, ela yake ya accomodation alikuwa anaigawana na watu wa nyumbani kwao huko kijinini. anasema wanaanzisha biashara. kwani shida iko wapi mtu akijibana aanzishe biashara ni akili hiyo.