Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa unajua gharama za masomo ya juu ungeshauri serikali iongeze mikopo.Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe,mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote?
Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi?
Nimeona serikali inataka kuwapa mikopo na hawa diploma,, hili nalo litakuwa kosa kubwa sana, yani kujibebesha mzigo juu ya mzigo ,,, cha muhimu hapo serikali wapige kimya tu na huko kwa ngazi ya degree wawafutie kabisa kama ikibidi labda wawape ada tu ,pesa ya kula wajitegemee.
Acha roho ya kwanini kwakuwa wewe umekosa basi tukose wote?Mimi nimesoma diploma nikamalizia na degree, naunga mkono hoja.
Ushajiuliza hizo degree zina msaada Gani Kwani Kwa taifa kama sio wewe ndio mpumbavuMoja kati ya hoja za kishenzi na kipuuzi ya mwaka 2024 hapa jf ni hii unafaa kupuuzwa tu, inaoenakana wew umeishia form 4(div0) so roho inakuuma kweli shenz typ
Mwenye akili timamu hawezi toa hoja ka kurupuka hivyo mkuu kunywa chai then soma tena uzi wako utagundua umeongea hakuna.Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe,mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote?
Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi?
Nimeona serikali inataka kuwapa mikopo na hawa diploma,, hili nalo litakuwa kosa kubwa sana, yani kujibebesha mzigo juu ya mzigo ,,, cha muhimu hapo serikali wapige kimya tu na huko kwa ngazi ya degree wawafutie kabisa kama ikibidi labda wawape ada tu ,pesa ya kula wajitegemee.
kuna faida gani kuwa na madaktari wengi na kazi hakuna ?Sasa hao Madaktarii utawatoa wapi?? Unajua gharama ya kumtengeneza daktari mmoja???
una msaada upi kwa taifa kwa sasa?Nilipomaliza degree yangu nkakuta nadaiwaa mil 23 aiseee... degree ningeipatiaa wapi sasaa..!!
sio kweli.Utakuwa mpuuzi fulani hivi! Mkopo itolewe kwa wanafunzi wote bila kufuata vigezo. Watoto wasiokuwa na mikopo wanateseka mno chuoni!
hakuna mgeni asiyejua hizo pesa mnazifanyia nini.Ungekuwa unajua gharama za masomo ya juu ungeshauri serikali iongeze mikopo.
Lakini ndiyo hivyo tena, umeishia diploma ambako laki 6 tu inatosha...
kama hoja yako ndio hiyo basi wananchi wote kila mmoja apewe fungu lake.Hivi ni nini kazi ya Serikali na Kodi tunazotoa zinatakiwa kufanya nini ?
Yaani katika karne ambayo information / elimu ipo wazi naona watu tunazidi kukosa uelewa...
Na hapo mtu anaongelea mkopo na sio grant..., na heri angejua hao waliopo sasa hivi huko juu walisomeshwa bure wala bila mkopo....
Tofautisha Hisani na Wajibu....