Nashauri mikopo ya elimu ya juu ifutwe, mbona wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo iweje wao?

Mimi nimesoma na jamaa, ela yake ya accomodation alikuwa anaigawana na watu wa nyumbani kwao huko kijinini. anasema wanaanzisha biashara. kwani shida iko wapi mtu akijibana aanzishe biashara ni akili hiyo.
Kheri huyo kafikiria kuinua kipato cha nyumbani kupitia pesa ya mkopo
 
Kuto kusoma HE, sisi haituhusu,
Boom tamu weyeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkopo ni zawadi na motisha kwa walio faulu vizuri mtihani wa form four, form six na diploma. Wanao jiunga na diploma ni watu waliofeli mtihani wa form four ndio maana wanaitwa diploma holders. Hatuwezi kuwapatia mkopo watu waliofeli kwasababu tutakua tunadidimiza tiafa letu kwanza ni kundi kubwa. We kijana unataka tuue elimu yetu.
 
Upumbavu hauna ujazo

Only imbeciles could think like this
 
Hela ya serikali usipoila ukiwa chuoni Subiri mpaka miaka 20 mbele.. Hapa katikati pana ka age tunakaita maturity age (MA) upauke kwanza kidogo. Ko vijana msijibane sana hela ya boom hainyanyui zege aise.
Ndiwooo ndiwooo
 
Taifa gani mkuu??? Si wanakata hela yao kwenye mshahara au unataka niwasaidie nini???
Hajui kwamba hela yao wanakata na PAYE unalipa vizuri ambayo kimsingi ni kodi unayochangia direct kwenye maendeleo ya nchi
 
Kama uwezo na level yako ya kusoma mwisho ni diploma,acha wivu
 
Wenzio walipambana advance acha wapewe mkopo
 
Yani kama mzazi sina uwezo wa kumpatia mwanangu pesa ya matumizi ajitafutie mwenyewe,, mzee kashiba posho huyu.. My daughter is typing KUJITAFUTIA MWENYEWE [emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…