Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Biteko anahusika huko?...vyombo vya dola vielekezo macho yao katika mipaka hasa nchi jirani mpaka kama Rusumo. Ngara na Karagwe, Manyovu Kigoma yaani mipaka tunayopakana na Rwanda. Na Burundi
Hata Waziri Mkuu aliyepo anafaida gani? wote waondolewe harakaHabari, wanajamvi kutokana kutokua na tija na ufanisi kwa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu , ninamshauri Mh Rais atengue nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kwa mamlaka yake na katiba nafasi hiyo ifutwe kabisa na vyombo vya dola vielekezo macho yao katika mipaka hasa nchi jirani mpaka kama Rusumo. Ngara na Karagwe, Manyovu Kigoma yaanK
Kabla hajateuliwa, uliombwa utoe maoni? Je, aliyemteua alikwambia kamteua akafanye kazi gani? Je, ushamsikia mteuzi akilalamika kuwa NWM hatekelezi majukumu yake? Acha gubu Dogo. Ukikua utakuwa mchawi! Shauri yako!!!Habari, wanajamvi kutokana kutokua na tija na ufanisi kwa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu , ninamshauri Mh Rais atengue nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kwa mamlaka yake na katiba nafasi hiyo ifutwe kabisa na vyombo vya dola vielekezo macho yao katika mipaka hasa nchi jirani mpaka kama Rusumo. Ngara na Karagwe, Manyovu Kigoma yaani mipaka tunayopakana na Rwanda. Na Burundi
Rais mwenyewe hana uwezo,,ahitumbue..huwezi kushi da unasafiri kisa kufurahisha Chadema utegemee kufanya mambo ya maana,!Ndiyo maana miradi yotr mikubwa ilibuniwa na jiwe sbb slikiwa anakaa na kusoma document na kufuatiliaHii nafasi ilikuwa created kuwapooza wale jamaa kanda pendwa ya mwendazake. Lakini kiukweli hakuna ufanisi wowote aliouleta huyu jamaa zaidi ya kuwa mzigo. Naunga mkono atumbuliwe na nafasi ifutwe.
Swali: Kwa nini kila mara hii nafasi ya Naibu Waziri Mkuu huwa inatungwa na marais wa kutoka Zanzibar tu?
Khaaah! Hilo swali hapo kwa kweli mnajua kuchimba.Hii nafasi ilikuwa created kuwapooza wale jamaa kanda pendwa ya mwendazake. Lakini kiukweli hakuna ufanisi wowote aliouleta huyu jamaa zaidi ya kuwa mzigo. Naunga mkono atumbuliwe na nafasi ifutwe.
Swali: Kwa nini kila mara hii nafasi ya Naibu Waziri Mkuu huwa inatungwa na marais wa kutoka Zanzibar tu?
Mie sijaelewa sababu ya kuwa na cheo ambacho hakim ktk Katiba ya NchiHabari, wanajamvi kutokana kutokua na tija na ufanisi kwa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu , ninamshauri Mh Rais atengue nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kwa mamlaka yake na katiba nafasi hiyo ifutwe kabisa na vyombo vya dola vielekezo macho yao katika mipaka hasa nchi jirani mpaka kama Rusumo. Ngara na Karagwe, Manyovu Kigoma yaani mipaka tunayopakana na Rwanda. Na Burundi
hakuna ufanisi upi au tija ipi?🐒Habari, wanajamvi kutokana kutokua na tija na ufanisi kwa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu , ninamshauri Mh Rais atengue nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kwa mamlaka yake na katiba nafasi hiyo ifutwe kabisa na vyombo vya dola vielekezo macho yao katika mipaka hasa nchi jirani mpaka kama Rusumo. Ngara na Karagwe, Manyovu Kigoma yaani mipaka tunayopakana na Rwanda. Na Burundi
Kabla hajateuliwa, uliombwa utoe maoni? Je, aliyemteua alikwambia kamteua akafanye kazi gani? Je, ushamsikia mteuzi akilalamika kuwa NWM hatekelezi majukumu yake? Acha gubu Dogo. Ukikua utakuwa mchawi! Shauri yako!!!
Hawa watu wa kutoka Zanzibar inaonekana wamejaa unafiki. Ili wafanikishe agenda zao chafu, wanawapumbaza watanganyika kwa vyeo bandia.Hii nafasi ilikuwa created kuwapooza wale jamaa kanda pendwa ya mwendazake. Lakini kiukweli hakuna ufanisi wowote aliouleta huyu jamaa zaidi ya kuwa mzigo. Naunga mkono atumbuliwe na nafasi ifutwe.
Swali: Kwa nini kila mara hii nafasi ya Naibu Waziri Mkuu huwa inatungwa na marais wa kutoka Zanzibar tu?