Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Nakubaliana na wewe hawa jamaa ni wanafiki kupitilizaHawa watu wa kutoka Zanzibar inaonekana wamejaa unafiki. Ili wafanikishe agenda zao chafu, wanawapumbaza watanganyika kwa vyeo bandia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe hawa jamaa ni wanafiki kupitilizaHawa watu wa kutoka Zanzibar inaonekana wamejaa unafiki. Ili wafanikishe agenda zao chafu, wanawapumbaza watanganyika kwa vyeo bandia.
Mwalimu Nyerere aliwahi kulizungumzia hili la cheo cha NWM kwamba Katiba haisemi kiwepo na haisemi kisiwepo. Kwahiyo, kuwepo au kutokuwepo hakivunji Katiba ya JMT. Yaliyobaki ni tafsri tu za "ntu na ntu" na zinaheshimika.Mteuaji na mteuliwa wote ni hasara tupu. Mteuaji amempa mteuliwa cheo bandia. Na aliyepewa cheo bandia kwa sababu ya uduni wa kuelewa anaona amepewa cheo kikubwa!! Hawa watusi wanaopewa vyeo bandia, kuna siku watakuja kitugharimu.
Kabisa, anatuongezea gharama za maisha tu.Habari, wanajamvi kutokana kutokua na tija na ufanisi kwa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu , ninamshauri Mh Rais atengue nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kwa mamlaka yake na katiba nafasi hiyo ifutwe kabisa na vyombo vya dola vielekezo macho yao katika mipaka hasa nchi jirani mpaka kama Rusumo. Ngara na Karagwe, Manyovu Kigoma yaani mipaka tunayopakana na Rwanda. Na Burundi
Na wanaopewa hiki cheo ni wabara,na sio wa dini ya huyo Rais wala wazanzibari wenzake.Hii nafasi ilikuwa created kuwapooza wale jamaa kanda pendwa ya mwendazake. Lakini kiukweli hakuna ufanisi wowote aliouleta huyu jamaa zaidi ya kuwa mzigo. Naunga mkono atumbuliwe na nafasi ifutwe.
Swali: Kwa nini kila mara hii nafasi ya Naibu Waziri Mkuu huwa inatungwa na marais wa kutoka Zanzibar tu?