Nashauri Naibu Waziri Mkuu atenguliwe na nafasi hiyo ifutwe kwa maslahi ya Taifa

Hawa watu wa kutoka Zanzibar inaonekana wamejaa unafiki. Ili wafanikishe agenda zao chafu, wanawapumbaza watanganyika kwa vyeo bandia.
Nakubaliana na wewe hawa jamaa ni wanafiki kupitiliza
 
Mteuaji na mteuliwa wote ni hasara tupu. Mteuaji amempa mteuliwa cheo bandia. Na aliyepewa cheo bandia kwa sababu ya uduni wa kuelewa anaona amepewa cheo kikubwa!! Hawa watusi wanaopewa vyeo bandia, kuna siku watakuja kitugharimu.
Mwalimu Nyerere aliwahi kulizungumzia hili la cheo cha NWM kwamba Katiba haisemi kiwepo na haisemi kisiwepo. Kwahiyo, kuwepo au kutokuwepo hakivunji Katiba ya JMT. Yaliyobaki ni tafsri tu za "ntu na ntu" na zinaheshimika.
 
Kabisa, anatuongezea gharama za maisha tu.
 
Na wanaopewa hiki cheo ni wabara,na sio wa dini ya huyo Rais wala wazanzibari wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…