Nashauri Rais awekwe mbali au apunguziwe access na mitandao ya kijamii

Mama km mama umbea ni asili ya wanawake wa kiafrika
 
Mnasumbuliwa na sumu aliyowanywesha JPM, sumu ya chuki, uadui, visasi, na kila baya. Mnaumia kuona baadhi ya sauti mlizohangaika kuzichafua kupitia maharamia kama Musiba, sasa ZINASIKILIZWA. Mnatamani awe Rais wenu peke yenu lakini yeye ameshatanabaisha kuwa yupo inclusive. Mtahangaika sana.

Kama ukaribu wake na mitandao ya kijamii imesaidia kuchukua hatua muhimu (eg suala la Plot C kule Mererani) iweje basi mkerwe na Uwepo wake huko?

MATAGA mtapata tabu sana
 
Rais amekiri kuwa siku ameteua matatibu na wakuu wa taasisi alilala saa nane usiku akisoma feedback za mitandaoni...
Halafu ukute amekuta maoni yanatija ya kufa mtu. Yaani kwa sasa mitandaoni ndio kwenye watanzania wengi wa kila hali kisiasa, kiuchumi, kielimu na kijamii.
 
Ipo haja wamshauri aachane na maswala haya kwa muda.
 
Kuna opinion sahihi na opinion ambazo siyo sahihi ?
 
Huwa nasoma “comments” kabla ya ku “post”” “comment” ili kusiwe na “redundancy”. Umeniwakilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…