The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 10,805 Reaction score 14,181 Mar 3, 2022 #41 Ina maana unaamini ile tume iko huru tatizo watu.hii nchi ina vijana kama hawa mkosi huu
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Mar 3, 2022 Thread starter #42 ostrichegg said: Kulinda kaburi kule Burigi? Click to expand... Kulinda maiti yako isiibiwe
nyabhingi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 15,602 Reaction score 20,181 Mar 4, 2022 #43 chinembe said: Hajanunuliwa, ni mzalendo sana na wananchi wanamuelewa, ni vile tu Mbowe alipewa bilioni mbili na Lowasa ili amuondoe Slaa asigombee Urais, Click to expand... Padri babu Slaa alichapwa vibao na ngingi la kihaya na kulazwa nje ya geti... Hafai kukaa meza moja na wanaume
chinembe said: Hajanunuliwa, ni mzalendo sana na wananchi wanamuelewa, ni vile tu Mbowe alipewa bilioni mbili na Lowasa ili amuondoe Slaa asigombee Urais, Click to expand... Padri babu Slaa alichapwa vibao na ngingi la kihaya na kulazwa nje ya geti... Hafai kukaa meza moja na wanaume
S semtawa JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 1,129 Reaction score 1,175 May 3, 2022 #44 Mwacheni Hayati Dk. Magufuli apumzike. Mnakera sana kila siku kumjadili. Huu mradi wa maji aliuzindua Brussels?
Mwacheni Hayati Dk. Magufuli apumzike. Mnakera sana kila siku kumjadili. Huu mradi wa maji aliuzindua Brussels?