Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Maskini SlaaaNamshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dk. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za upinzani Tanzania.